Mtu kuwa genius haimanishi anauwezo wakutatua matatizo ya nchi. Hata Isac Newtown the genius of physics alipo ingizwa kwenye bunge la wingereza aliongea sentensi moja tu na muongo mwingine uliyofuata hakuludishwa. Hiyo sentensi ilikuwa(fungua dirisha nasikia joto) Kuwa genius haimanishi unaweza...
Ni mmoja kati ya watu waliochana kadi zao baada ya mkutano wa nec pale dodoma. Tulichomfanyoa sisi wana ccm ulitegemea akae nayo. Tena mimi ningeifanya toilet paper kamaningekuwa lowassa
Mimi ni ccm damu damu lakini kula yangu nampa lowassa. Kwa sasa sisi wana ccm lazima tukili makosa yetu kuliko kuja na hoja zisizokuwa na maana. Kwani hatujengi chama tuna bomoa. Kiufupi kwataarifa kama hizi tunajiaibisha. Lazima tukubali kuwa lowassa ndokiongozi mkuu. Jana nilimuona hadi...

Mimi ni ccm damu damu lakini urahisi na mpa lowassa. He has a vision and mission for the country lakini magufuri anasubilia ilani ya chama. Ni aibu kwa chama. Kikwete alikuja nakauli mbiu ya kasi mpya, nguvu mpya na hari mpya. Magufuri sijajua yeye msingi wake wa maendeleo ata ukazia wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.