Recent content by Panyanyi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Watu na Balozi mbalimbali za nchi za ulaya na Marekani zampongeza Maxence Melo wa JamiiForums

    Hongera sana Max, kwa ujasiri wako mkubwa. Umeishinda hofu na ushindi huo ukawapa watu mahali pa kutolea mawazo yao hata kama wao wenyewe hajaishinda hofu. Hongera sana
  2. P

    JamiiForums Tanzania Namna Serikali ya awamu ya tano ilivyowakomboa wanawake

    Kwa mfumo huu, ukombozi ni kila mtu ambapane kujikomboa. Endepo wenye madaraka watatekeleza wajibu wao, basi itakurahisishia safari ya kujikomboa
  3. P

    JamiiForums Tanzania Madai ya Zanzibar mgawo wa Mapato ya Muungano miaka 7 ni TZS 4.6 Trilioni

    Wape haki yao, wadai kuwajibika
  4. P

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanyama wahamishiwa hifadhi ya Burigi

    Watalii wote watatakiwa kuanzia shughuli za utalii Chato
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya za fedha: Dr Mpango

    Wameshikwa na roho wa umaskini na kutokufikiria namna ya kuwezesha watu kujiendeleza.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nyalandu anagawa kadi za CHADEMA misibani Singida

    Chapa kazi
  7. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaalika Ikulu Wafanyabiashara wakubwa watano kutoka kila Wilaya

    Toa ajenda ya mwaliko. Watu wajiandaa kushiriki vyema. Mambo ya kufanya kazi kwa “Hati ya dharura” kwa mambo ya msingi ni sawa na kutaka kujenga kitu imara juu ya kitu dhaifu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: Nasema kamwe hatutapiga magoti, tumeona vihoja vyao

    Amekosa dira na mwelekeo. Inashangazi hata mifano anayotoa haimsaidii kufikisha ujumbe. Kwa “argue and don’t shout “ yeye kaishia kupiga kelele.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu akamatwa na kushikiliwa na TAKUKURU mkoani Singida

    Wasije kuwa watu wasiojulikana
  10. P

    JamiiForums Tanzania Muomba Mungu hachoki : Tundu Lissu kumshukuru Mungu Jijini London June 2

    Mungu azidi kumlinda na kumbariki
  11. P

    JamiiForums Tanzania Toyota hilux inauzwa

    Iko wapi?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mbunge Stephen Masele awasili Bungeni Dodoma kuitikia wito wa Spika Ndugai

    Safari inaendelea
Back
Top Bottom