Recent content by Panya Road.

  1. Panya Road.

    Je Rais Magufuli anamlinda ama anamuogopa Mussa Assad baada ya kukaidi katazo la safari za nje?

    Kuna mambo yanakera sana tena yanachukiza. Serikali ilikuwa wazi kabisa katika katazo la safari za nje. Mwongozo uliandaliwa wa jinsi ya kufanikisha safari hizo ikiwa kutakuwa na ulazima. Kubwa zaidi ni kuwa na kibali cha Rais ama Katibu Mkuu kiongozi. Hata hivyo, taarifa zilizochapishwa na...
  2. Panya Road.

    Edward Lowasa na Timu yako mjiandae kisaikolojia kama vile ambavyo Kikwete alijiandaa mwaka 1995

    Nasubiri kwa hamu kuona Lowasa akipata kichaa kutokana na kutumia fedha nyingi kuwekeza kwenye urais
  3. Panya Road.

    Kwanini "kingmaker" Rostam Aziz amerudi nchini kipindi cha uchaguzi?

    Sidhani kama atajitokeza coz alichoandika Weston ndo uhalisia wenyewe
  4. Panya Road.

    Kwanini "kingmaker" Rostam Aziz amerudi nchini kipindi cha uchaguzi?

    Rostam kasoma alama za Nyakati. Kaona kuwa Apson Mwang'onda kazidiwa nguvu. Amekuja kumwaga fedha ndo maana kwenye ile Harambee ya Ujenzi wa chuo cha kiislam kule Arusha Rostam peke yake kachangia milioni 50. Apson ni bla blaa tu. kamnyonya Lowasa mpaka kafilisika
  5. Panya Road.

    Nyerere: Rais anayekwenda ikulu kwa pesa ni wa kumuogopa kama ukoma

    Nimesikiliza kwa makini audio hii. Hakika i ejaa hekima na baba wa Taifa alikuwa na muono wa mbali sana
  6. Panya Road.

    Makonda atakiwa kuomba msamaha kwa kumchafua Lowassa

    Tehetehetehetehe! Sisi twanywa juice tu wakati wengine wakinyukana
  7. Panya Road.

    Mchechu, kama umeshindwa kazi utoke

    Msechumyupo makini sana kwenye kazi zake.
  8. Panya Road.

    Hotuba ya Kikwete kwenye sherehe za miaka 38 ya CCM imebeba ujumbe mzito

    Nakubaliana na wewe Mkuu Stroke. Uongozi na hatma ya taifa haufanyiwi majaribio
  9. Panya Road.

    Kwanini Lowasa hasomagi taarifa za kamati yake bungeni?

    Kuna mdau kaweka jina la huo ugonjwa kwenye mada hii
  10. Panya Road.

    Nimewafukuza Polisi waliopanga kwenye nyumba yangu

    Mkuu, polisi wanafanya kazi vizuri sana. Tatizo lipo kwetu sisi. Tunadhani umaarufu wetu ni excuse ya jeshi la polisi kufanya kazi zake. Tulivyoshughulikiwa sisi Panya Road nyote mlifurahia. Ila ameshughulikiwa Lipumba tu tena si kwa kupigwa tayari hoja binafsi imetolewa bungeni. Hivi thamani ya...
  11. Panya Road.

    Godbless Lema kutumia nguvu ni kukosa uwezo wa kujenga hoja au ameathiriwa na kazi yake ya awali?

    Mwache huyo Lema azichape huko Bungeni. Sisi akina Panya Road. tunamsubiri huku lupango tumshughulikie
  12. Panya Road.

    CCM mnawakomoa wananchi, sio UKAWA!

    Mkuu, kuna fedha za mfuko wa jimbo ambazo zinasimamiwa na mbunge. Je wanazitumiaje?
  13. Panya Road.

    CCM mnawakomoa wananchi, sio UKAWA!

    Msituchanganye bana. Mnyika alisema kuwa ataleta maji Ubungo. Wala hakusema kuwa ataishirikisha serikali ya CCM kutekeleza hilo. Kama kazi imewashinda rudisheni majimbo kwa CCM
  14. Panya Road.

    Warioba atajwa urais kupitia UKAWA

    Una uhakika kuwa Warioba alipigwa na UVCCM?
  15. Panya Road.

    Warioba atajwa urais kupitia UKAWA

    Tulishajua toka mwanzo kuwa Warioba ni kibaraka wa UKAWA. Mpaka sasa UKAWA hawana mgombea Proper kwenye nafasi ya urais
Back
Top Bottom