Maswali ni mengi sana, na kwa kuwa hakuna uchunguzi wowote uliofanyika kuhusu kifo chake, Mungu pekee anajua nini kilichukua uhai wake.
Wabaya wake walianza kushangilia kifo chake kuanzia tarehe 11. Huku wakisema kabisa akitoka adharani basi wao wafir*e.
Safari za wakuu zikawa hazieleweki...
Naomba qualification/CV zao.
Bila Shaka kwenye Elimu na Uzoefu wa siasa, ZITTO atakuwa anamzidi Baba LEVO.
Sifa zingine:
Baba LEVO ni CHAWA
ZITTO ni mnafiki na opportunist.
Sina mengi ya kusema. Nikutakie kila la kheri kwenye kazi ya kutunga sheria na kuisimamia serikali ili Wananchi wa Kigoma mjini wapate maendeleo.
Na ikimpendeza Rais basi akupe kabisa Wizara ya Michezo na Utamaduni.
Kila la kheri Chiponda
Bwana Pascal Mayalla, mimi kusema kweli nikiona umeandika utumbo nasikitika.
Kwa nini ushauri watu wafanye kitu ili mradi tu wamefanya?
Kuna athari nyingi sana kushiriki kiini macho ikiwa una uhakika ni kiini macho.
Wewe haujali muda? Pesa? Na hata utu wako?
Kuna wakati unatereza sana ndugu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.