Recent content by pangatulale makoga

  1. pangatulale makoga

    Shamba lenye parachichi linauzwa

    Maisha yamechacha ndugu
  2. pangatulale makoga

    Shamba lenye parachichi linauzwa

    Shamba lenye parachichi zilizozaa vizuri linauzwa Lipo ktk Kijiji Cha wanginyi,kata ya matembwe mkoani njombe Umbali kutoka barabara kuu ya njombe -lupembe ni mita 100 Lina ukubwa wa eka moja na nusu Bei ni tsh milioni 9 Parachichi zimeota vizuri hakuna iliyokufa Na lipo jirani na maji Kwa...
  3. pangatulale makoga

    Shamba linauzwa

    Ni kweli, tuwekeze ili kuongeza ajira
  4. pangatulale makoga

    Shamba linauzwa

    Wewe unadhani shamba linakaa ndani ya nyumba?
  5. pangatulale makoga

    Shamba linauzwa

    Ni Mali binafsi na sio eneo la ccm
  6. pangatulale makoga

    Shamba linauzwa

    Shamba linauzwa, linafaa kwa kilimo Cha parachichi, miti ya mbao, maharage n,k Lina ukubwa wa eka 50. Bei ya kila eka ni tsh laki tatu na Elfu hamsini (350,000=) Shamba lipo Kijiji Cha mfriga ktk kata ya mfriga tarafa ya lupembe mkoani njombe. Lipo jirani na barabara na Kuna laini ya umeme...
  7. pangatulale makoga

    Shamba linauzwa pamoja na majengo (nyumba)

    Maelezo: Shamba linauzwa Liko maeneo ya Lutukila,Madaba(Km 1 kutoka barabara ya Songea -Njombe)Ukubwa wa shamba eka 100; Mazao yaliyopo,korosho eka 20,mitiki eka 5,parachichi eka 3,Kuna bonde la eka 6 la kulima mpunga,banda la nguruwe, banda la mbuzi. Majengo: Godown kubwa(kubeba si chini ya...
  8. pangatulale makoga

    Shamba lenye parachichi linauzwa

    Lipo Kijiji Cha yakobi Katika halmashauri ya mji njombe Mkoani njombe Lipo barabara kuu ya lami ya njombe-songea Kutoka bararani mpaka shambani ni umbali wa mita 850 Parachichi zina umri wa miaka 3 Ukubwa wa shamba ni eka 5 Bei ni tsh milion 20 Maji yapo karibu Kwa mawasiliano zaidi nipigie...
  9. pangatulale makoga

    Shamba LINAUZWA

    Ndio
  10. pangatulale makoga

    Shamba LINAUZWA

    Shamba linalofaa kwa kilimo Cha parachichi au miti ya mbao linauzwa. Lipo Kijiji Cha matembwe ktk kata ya Matembwe, tarafa ya Lupembe wilayani Njombe na mkoa wa Njombe. Lina ukubwa wa eka 10 Bei ni tsh 500,000/= eka Linafaa kwa kilimo Cha mahindi pia maharage n,k Kwa mawasiliano zaidi nipigie...
  11. pangatulale makoga

    INAUZWA Shamba pamoja na majengo na trekta vinauzwa

    Kilimo Cha mahindi yanakubali, Ila kulima kwa trekta ni eneo dogo sana ambalo inawezekana kwa trekta zaidi zaidi eneo kubwa ni kwa mkono
  12. pangatulale makoga

    INAUZWA Shamba pamoja na majengo na trekta vinauzwa

    Ndio unapita barazani, ni kilomita 80
Back
Top Bottom