Recent content by Pangamalsy

  1. P

    JamiiForums Tanzania Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

    Mwanzo 3:16.....tamaa yako itakuwa KWA mumeo nae atakutawala" Uongizi alipewa mwanaume bwashee.Pia ongeza 1korintho 11:3 "kichwa cha kila mwanamume ni Kristo na kichwa mwanamke ni mwanamume na kichwa cha Kristo ni Mungu" pia 1korintho 11:6 ......mwanamke ni utukufu wa Mwanamume.Zaidi soma kutoka...
  2. P

    JamiiForums Tanzania CCM ina wenyewe..

    😄 😀😀😀😀
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2015 ilikuwa UKAWA vs MAGUFULI, mwaka 2025 itakuwa CCM vs Wananchi na kivuli cha Magufuli

    Lakini pia kundi la watu wa kawaida walikuwa wanafurah sana mtu akitumbuliwa na pengine bila sababu ya msingi,wakati huohuo kundi hilo lilikuwa haliwezi kupata nafasi hiyo.Yaani maskini anafurahi tajir akifirisika....
  4. P

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI rasmi yaamua kuua elimu yetu Darasa 1 mpaka kidato cha 6? Nini kazi ya Wizara ya Elimu,OR na Necta?

    Mwalimu mwenyewe kaajiliwa hajui hata kujiajiri ni nini,then aje amfundishe mwanafunzi kujiajiri! Skills,atitudes na experience aliyonayo mwalimu ni KWA masomo yake husika suala la kujiajiri ni degree inayojitegemea
  5. P

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa acha uongo, Hayati Dkt. Magufuli hakuwa mwanademokrasia

    Naona anataka kuwa upande wa Sukuma gang hivi KWA kumponda Mama kiaina,au ndo kiki ya Kutafuta uteuzi
  6. P

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akutana na Askofu Bagonza

    Bagonza falsafa zake huwa nazikubali sana
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako Lusekelo: Subirini 2024 Muone Songombingo, wapo watakaosema Samia asigombee

    😄😀😀😁 mzee wa Upako bwanaa......
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe ilipikwa kipindi cha Hayati Rais Magufuli

    Hiyo kesi lilikiwa ndo bomu la mwisho KWA Chadema na upinzani Tanzania hii,imagine JPM angekuwepo na hiyo kesi ipo Mahakamani!!!!!Kosa la Samia alitaka kutumia nguvu kuzuia wimbi la kudai katiba, bila tafakari ya kina kuhusu hatma ya kesi hiyo.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vita ya Urusi, Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei

    Sawa sasa serikali imejipangaje?mbona hatoi solution
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mwijaku,"Mke wa Alikiba amekula maisha mazuri, mumewe hajatelekeza ndoa"

    Ni hatar sana mkuu,zamani wanaume walipambana KWA kupiga jembe na kazi halali!leo hii ni kuwa nikuwa na maneno mengi ka mwanamke ndo inalipa
  11. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tukiwa Ufaransa kuna vijipesa tumepata pale kwa ajili ya kumalizia miradi

    Mlisema treni za umeme saiv mmehamia kwenye gari za umeme,halafu ajenda yenyewe wametoa mabeberu
  12. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

    Bagonza hajakataaa kuongea waliyozungumza alicho kataa ni Lissu kuongea in details,angeweza kisamarize tu then asubiri utekelezaji
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi yaliyobebwa ndani ya kikao Kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Tundu Antipas Lissu, Brussels Ubeligiji

    Ubarikiwe mtoa maada!Mungu ibariki Tanzania magomvi si uungwana
Back
Top Bottom