Recent content by Panama

  1. P

    Kumuoa huyu nafanya kosa tena au nibahatishe tu

    Amezaa na jamaa watoto watatu tena bila ndoa niwazi alimpenda sana huyo jamaa. Hapo unataka kuoa mke wa mtu, itakusumbua sana. Hao wako na love kati yao, sema tu kuna shida imetokea. Wakikaa sawa lolote linaweza kutokea.
  2. P

    TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

    My Condolences RIP Prof.Peter Kitau Msaki
  3. P

    Huyu hapa Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu akitanua na Nyumba na Magari ya Kifahari. Mbeya mtasubiri sana

    Kuhusu hotel amekopa bank. Hata wewe unaruhusiwa kukopa kama unavigezo. Tuache wivu wakike
Back
Top Bottom