Recent content by Pampegele Mulemba

  1. P

    JamiiForums Raia 3 kufia mikononi mwa Polisi sio habari siku hizi?

    Huu ndio mwisho mbaya wa utawala wa kikatili
  2. P

    JamiiForums Kauli za viongozi mbalimbali kuhusu mwanafunzi atakayepata mimba

    Inatia uchungu kwa kweli!!!
  3. P

    JamiiForums Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Pamoja na maelezo yaliyo wazi hivyo lakini bado hujaelewa badala yake unawaza vyama, shame on you! Umeambiwa hats wewe nenda utapewa kipande chochote cha barabara kiitwe jina lako maadam uwezo wa kukihudumia. Kipande cha Wanyama yeye aliridhia kukifanyia matengenezo ili kipitike kirahisi na...
  4. P

    JamiiForums Kauli za viongozi mbalimbali kuhusu mwanafunzi atakayepata mimba

    Hii dhambi haitaisha kama unavyodhani, tishio la UKIMWI limeshindwa sembuse kuachishwa shule! Hii dhambi imerithiwa toka Adam na Eva sanasana haya maamuzi yatachochea utoaji mimba!
  5. P

    JamiiForums Kauli za viongozi mbalimbali kuhusu mwanafunzi atakayepata mimba

    Kweli kabisa; Pia alikuwepo Firauni (Farao) nayeye alipewa uwezo mpaka akajiita mungu. Je, anamkumbuka mshenzi Idd Amin Daddah wa Uganda? Ajiulize wote hao hivi sasa wako wapi!!
  6. P

    JamiiForums Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

    Kweli... Ukipenda, chongo huita kengeza! Watu mmetiwa upofu hata tuendako hamkuoni uchama umewateka hamuoni wala hamsikii!!!
  7. P

    JamiiForums Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    Tatizo lako ni kuingiza siasa katika kila jambo Ona sasa unavyoumia kwa ushindi wa Lisu, pole sana!
  8. P

    JamiiForums Yajue majina ya Kinyakusya na maana zake

    Nasekiile - nilifurahia Atufigwege - asifiwe Ambilikile - ameniita
  9. P

    JamiiForums Wanawake wenye midomo myembamba

    Uko sahihi lakini si wote yaweza kuwa 80% ya hao nd'o tabia yao hali kadhalika kwa wenye midomo minene.
  10. P

    JamiiForums Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

    Utakua tu na utayaona ya kawaida sana!
  11. P

    JamiiForums Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

    Utakua tu utayaona ya kawaida sana!
Back
Top Bottom