Wana JF,
Ndugu zangu nimeshuhudia watu wakizima TV na radio zao baada ya kuona JK anaanza kuhutubia. Wengine wanasema kumsikiliza huyu jamaa ni kujiumiza kichwa bure.Maana TV stations na redio mbalimbali zimeweka hicho kipindi, watu wanaona ni bora kuzima vyote na baada ya yeye kuhutubia ndo...
Ndugu zangu wana JF na watanzania wote habarini za asbh,
Kwanza kabisa napenda kuwauliza swali wajumbe walio wengi wa bunge maalum la katiba wanaotetea muundo serikali mbili. Hivi kweli wote akili zao zinafanana kiasi kwamba wote wanaishia kushabikia serikali mbili na kujaribu kuonyesha faida za...
Ndugai ulichaguliwa na wabunge wenzako ili kuliongoza bungle kwa uadilifu na bila upendeleo kwa chama chako lakini unazidi kuonyesha jinsi unavyopemdelea chama Hebu badlika mh
Ndugu wana JF,
Matokeo ya jumla kwa maana ya kuchukua jumla ya kura ambazo kila chama kilipata katika kata zote 22 ambapo uchaguzi ulifanyika yanaonyesha kuwa CCM ilipata jumla ya kura 17968 na CHADEMA ikipata jumla ya kura 18431 huku vyama vingine kama CUF na wenzake vikipata jumla ya kura...
Wana JF,
Napenda kumshauri mwanasiasa na mchumi wa daraja la kwanza wa CCM Bwan.Mwigulu Nchemba pamoja ndugu zake akina Nape kuwa katika kazi zao za siasa na propaganda wanazofanya watumie akili na bongo zao angaa kwa 1% japo najua ya kuwa vichwa ni vigumu kuelewa au ndo kusema mtu akisha pata...
Muda mfupi uliopita kamanda Lwakatale alikaribishwa kuwasalimia washarika wenzake hapa katika kanisa la KKKT usharika wa Kimara-King'ong'o.Ameeleza jinsi alivyobambikiwa kesi ya ugaidi na kuswagwa ndani Segerea na akamshukuru Mungu kupitia kwa mawakili wake alivyompigania mpaka kufutwa kwa kesi...
Salamu wanaJF Naomba kupata matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa serikali za vijiji na vitongoji uliofanyika jumapili iliyopita tarehe 17/02/2013 huko wilayani Magu.Naomba mwenye matokeo anijuze maana nimejaribu kutafuta thread yoyote yenye matokeo bila mafanikio.Na ndio maana nimefikia hatua...
Salaam wana JF,
Ndugu zangu naomba kuuliza swali moja hapa jamvini, "Hivi hivi vyama vingine kama vile NCCR, CUF,TLP na vingine hawana mabaraza ya vijana?Maana tumeisikia BAVICHA ya Chadema na UVCC ya CCM.Hawa wengine wako wapi mbona hawasikiki?Na kama mabaraza hayo yapo yanaitwaje maana mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.