Recent content by Pamba Anord

  1. Pamba Anord

    Hivi unafahamu wakati mwingine mapenzi ni uraibu pia?

    Ili ukweli wowote uthibitike huwa tunahitaji ushahidi,ikiwa wewe unaona kama tafiti hizo ni ngonjera basi unaweza kuleta kitu ambacho kina mashiko na kisicho na ushahidi kama unavyotaka wewe,na sio kukosoa Maada kwa maneno matupu.
  2. Pamba Anord

    Hivi unafahamu wakati mwingine mapenzi ni uraibu pia?

    Ni kwel kabisa na hivyo ndivyo ilivyo,japo watu wengi huwa wanaona kuwa jambo la kawaida tu
  3. Pamba Anord

    Hivi unafahamu wakati mwingine mapenzi ni uraibu pia?

    - Kuna watu hata wateswe mara ngapi na mapenzi, hata waachwe mara ngapi, wao kila siku wanapenda tena watu wapya. - Kuna wengine, hawawezi kuishi bila kufanya mapenzi na (hawajaoa wala kuolewa). - Wengine kuwa na mpenzi mmoja tu hawawezi, yaani mpaka awe na wengi ndIo anajskia yupo kwenye...
  4. Pamba Anord

    Wivu wa wanaume kwenye ndoa ni sababu ya wake zao kuhamisha mapenzi kwa watoto

    Wanaume wengi hawaelewi uhusiano uliopo kati ya mke wake na watoto wako (mama na mtoto), na hivyo huwaonea wivu wake zao baada ya kujifungua .(kupata mtoto) Watu wanapooana, miezi ya mwanzoni huona ndoa kuwa tamu sana ila sababu za ugomvi mwingi katika ndoa ni pale mtoto anapopatikana, wanaume...
Back
Top Bottom