Recent content by palesho

  1. P

    Misri na Jordan zinashindwa vipi kuilazimisha Israel ifungue mpaka watu wapate chakula ili wasife

    Kuna mahali imeandikwa hivi: Na ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake, ufalme huo hauwezi kusimama; na nyumba ikifitinika juu ya nafsi yake, nyumba hiyo haiwezi kusimama.(Mk 3:24-25)
  2. P

    Manispaa ya Beirut yaamru bendera zote za Hezbollah zilizotundikwa mjini zishushwe mara moja

    Duh! Kweli akipenda chongo huita kengeza. Eti silaha zili-expire - ilhali huku vita inaendelea. Hii imekaaje mjomba?
  3. P

    Manispaa ya Beirut yaamru bendera zote za Hezbollah zilizotundikwa mjini zishushwe mara moja

    Sijasema Hezbollah amenyang'nywa silaha. Hebu rudia kusoma vizuri. Nimesema:".....kwa sasa Hezbollah anapokonywa silaha" (present continuous tense) Kuhusu nilikotoa hizi habari; Soma 👇 👇 Paris on March 28. Magali Cohen/Hans Lucas/AFP/Getty Images CNN — Lebanese President Joseph Aoun said...
  4. P

    Misri na Jordan zinashindwa vipi kuilazimisha Israel ifungue mpaka watu wapate chakula ili wasife

    Ni kweli. Katika Mpango wowote ule, huwa kuna kitu chaweza kujitokeza na kuathiri Muda wa kukamilika kwa Mradi.
  5. P

    Manispaa ya Beirut yaamru bendera zote za Hezbollah zilizotundikwa mjini zishushwe mara moja

    Mkuu; Tunabishana kwa hoja zenye walau viashiria vichache kuonesha ukweli wa hoja: 1. Kwa mfano iko wazi kwa sasa kwamba Hezbollah anapokonywa silaha. Hezbollah; kwa mujibu wa cease fire, wapo ng'ambo (Kaskazini)ya mto Litani. 2. Hakuna Taarifa ya Lebanon (kama nchi)kurusha maroketi au makombora...
  6. P

    Manispaa ya Beirut yaamru bendera zote za Hezbollah zilizotundikwa mjini zishushwe mara moja

    Ni sahihi kwamba Hezbollah kama kundi wanaweza wakaendelea kuwepo(ni ruksa)lakini watakuwa ni kundi au Chama kimojawapo kati ya vyama vya kisiasa vilivyopo nchini Lebanon na itakuwa ni marufuku kujihusisha na mambo ya kijeshi i.e. hawataruhusiwa kumiliki silaha au kuendesha mafunzo ya kijeshi...
  7. P

    Manispaa ya Beirut yaamru bendera zote za Hezbollah zilizotundikwa mjini zishushwe mara moja

    Waheshimiwa; kwa heshima na taadhima tunawaomba mkayamalize hapo nje au wadau wenzangu mnasemaje? Tuendelee kusikiliza yaliyo nje ya mada?:4WeirdJam:
  8. P

    Manispaa ya Beirut yaamru bendera zote za Hezbollah zilizotundikwa mjini zishushwe mara moja

    Waheshimiwa. Tunawaomba mkayamalize hapo nje - Msivuruge mada. Ni ombi lakini.
  9. P

    Manispaa ya Beirut yaamru bendera zote za Hezbollah zilizotundikwa mjini zishushwe mara moja

    Yep. Iran ni mjanja sana. Amepima maji na unga halafu pia akaona kinachowapata vijana wake HAMAS, Hezbollah na Houthis akajisemea moyoni; mwe! cha kufia ni nini? Ngoja nikaongee kwani kuongea huwaga damu haimwagiki na wala majumba hayaporomoshwi.
  10. P

    PreGE2025 Mabalozi watakaohudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu et al, Wafukuzwe kutoka nchini

    EEnhe!:oops: Hivi kumbe ukiandika kwa kiingereza 👆(Lugha ya waliotutawala zamani) huwa ndo inaonesha msisitizo zaidi au ndo kusema uko-siriasi?
  11. P

    Manispaa ya Beirut yaamru bendera zote za Hezbollah zilizotundikwa mjini zishushwe mara moja

    Siamini itakuwa hivyo. Tusubiri tuone itakavyotokea esp. baada ya IDF kumalizana na HAMAS huko Gaza. Ila hili ni angalizo zuri na la muhimu kulitazama.
  12. P

    Manispaa ya Beirut yaamru bendera zote za Hezbollah zilizotundikwa mjini zishushwe mara moja

    Sivyo mkuu. Hayo yanayofanyika hapo ni kati ya yale yaliyokuwamo kwenye ile cease fire iliyosainiwa na pande zote mbili i.e. Israeli & Lebanon. Hezbollah hawakushiriki kwani hilo ni kundi tu la kigaidi na sio nchi. Sasa waliotia saini wameshakuwa na "Ushirikiano". Hilo zoezi la kunyang'anya...
  13. P

    Manispaa ya Beirut yaamru bendera zote za Hezbollah zilizotundikwa mjini zishushwe mara moja

    Sasa limeshakuwa Lao ni moja against Hezbollah halafu Wananchi wanauzoefu wa kichapo cha Myahudi - hawana hamu na zaidi wakizingatia ni huyo huyo Hezbollah aliyeliamsha kwa kununua vita ya HAMAS. Hapo hakuna namna ni kwa nini Hezbollah asinyooke? Hana msaada wowote tena wala pa kushika hakuna.
  14. P

    Uongo wa kutisha wafugaji hudanganyana kuhusu ufugaji wa kuku (3 itakuvunja mbavu)

    Hili 👆 👆 umenena sawia. Ni ukweli usiopingika na hata wataalam walioko huku Field wanalishuhudia hilo. Kwa mfano HAKUNA - narudia tena HAKUNA boma au nyumbani kwa mfugaji ng'ombe na mbuzi yeyote ambako mfugaji huyo hana Syringe 30 au 50 cc, Chupa za Oxytetracycline (wenyewe wafugaji wanaita...
  15. P

    Manispaa ya Beirut yaamru bendera zote za Hezbollah zilizotundikwa mjini zishushwe mara moja

    Magaidi wa HAMAS saivi Myahudi anawapeleka puta kuelekea Golgota. Wamechoka hoi na hawana tena jinsi. Njaa kali, mahandakini hakukaliki, buffer zone imegeuzwa kuwa Kill zone upana wa nusu kilometa kuizunguka Gaza strip yote.......hahaha -Yes. hakuna rangi wataacha kuona.:StockExplosion: Hao...
Back
Top Bottom