Recent content by Pakomius

  1. P

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kusomea mafunzo ya afya ukiwa JKT?

    Jkt mnafundishwa nidhamu ya kijeshi, uzalendo, ukakamavu, elimu ya kujitolea na kutokukata tamaa baasi. Kama umepata bahati ya kuingia na professional yako nafasi za ajira kwenye vyombo vya ulininzi na usalama zikitoka utachukuliwa kwa uraisi tofauti na fresh from school ambaye hauna utaalamu...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya ujio wa corona ndio nimemuelewa Jacob Zuma aliposema kuhusu kuosha na maji na sabuni

    Hii ni kweli kabisa. Maana nimethibitisha mwenyewe kwenye maisha yangu. Nilidhani dem flani aliyekufa na ngoma kanipa ngoma nikaanza kuuza mechi kwa madem kibao wengine makahaba kabisa. Ila sikua narudia kitendo nikigonga mara moja baasi. Na nahakikisha dem kalowana na ute. Matokeo yake wkt...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi yawatia Mbaroni Watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya dereva wa Uber

    Halooo utaona rangi zote za upinde wa mvua na za kuzimu. Hahahahahahah
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka South Africa: Mtanzania afariki dunia kwa kupigwa risasi

    Yaani kwa jinsi nilivyoupitia huu uzi sina hamu na S.Africa. Vipi ulikuwepo kipindi cha World cup? Na vp rate ya crime kwa wageni kipindi hicho cha World cup ilikuaje? Na serikali kwa ujumla ilijipangaje kuwalinda wageni!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

    Mkuu Hongera sana kwa kuinuka tena. Mimi story yangu inafanana na ya kwako ila kikubwa kilichonitesa mimi ni pombe. Ilinitesa mnooo. Kiasi kwamba ndoa yangu ilitetereka. Kama sio mke wangu kusimama kwenye maombi hata kazi ningepoteza. Nilikuja kuamka nikasema kuanzia leo (POMBE NO) toka pale...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Najihisi kuwa na dalili zote za COVID-19. Je, nifanyeje?

    Bro vipi kuhusu taste ya vyakula iko vizuri kwenye ulimi? Na je pua nayo inahisi harufu vizuri?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-

    Hiyo nyumba bora uhame tu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. P

    JamiiForums Tanzania Muuza sigara nisiye vuta sigara

    Mkuu umetumia kilevi gani Leo? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. P

    JamiiForums Tanzania ITV wameumbuka kuhusu ndege iliyoleta watalii Tanzania?

    Wametaja aina ya ndege na usajili wake. Hata mm mwenyewe nimecheck hiyo ndege mara ya mwisho imeonekana ujerumani na imesafiri kwa one hour. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ushujaa wa askari huyu ni wa kipekee, wadau tumpongeze

    Yule wa Dar aliyejitosa ktkt ya matanki ya petroli yaliyokua yanalipuka na kwenda kufunga koki ya moja ya matanki yaliyolipuka yule ndo alikua mwanaume sio huyu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka South Africa: Mtanzania afariki dunia kwa kupigwa risasi

    Unaweza ukakuta huko Texas anakosema ni tandale kwa mtogole. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kupaa kwa usingizi nyakati za usiku

    Na kusali pia Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom