Ushujaa wa askari huyu ni wa kipekee, wadau tumpongeze

Amepandishwa cheo mnaopinga nendeni makao makuu mkakate rufaa
Ana haki kupewa hicho cheo, maana humu kuna watu wanatapika maneno ya ovyo, eti ndiyo kazi aliyosomea na kufanyia mazoezi.

Kama alifanyia mazoezi ya uokoaji mbona wananchi wamemsaidi kushika kamba kisha kushuka na wananchi kumvuta juu!!.
 
Katika matukio mawili tofauti zimamoto walikuja fasta. Moja likiwa Kigamboni jingine likiwa Mwananyamala kwa Chaza.

Sasa muulize anayepajua Mwananyamala kwa Chaza pakoje lakini jamaa walikuja fasta.
 
Nukuu "Kweli nimeamini Nabii hakubaliwi nyumbani kwao" nasoma coment baadhi ya wachangiaji hawataki kumpa pongezi ka
manda,Kama kafanya vema kwanini usimpe pongezi kwa Jambo la kishujaa?.Ila angekuwa mtu mweupe kutoka ulaya amefanya hivyo mngemsifia sana na vigeregere,shangwe na makofi juu wa kwetu mnaona kawaida.Sambaza upendo tusione aibu kupongezana pale Mtanzania mwenzetu afanyapo Jambo la kishujaa na kizalendo Kama hili mi nampongeza kwa ushujaa aliouonesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri kwako uliyeona hili mkuu.
Maana nimegundua waafrika (baadhi) akili zipo pale mtu akiwa smart kavaa nguo ila akifungua mdomo, yayayaaa...😤

Back
Top Bottom