mungu na shetani ni (nafsi), hivyo bhasi hakuna yoyote atakaekuja kukuamulia maamuzi yako ya msingi yawe (mazuri/mabaya) ispokuwa wewe mwenyewe.
na kumbuka, mwisho wa siku kila mtu atahukumiwa yeye kama yeye na si shetani kwa niaba ya mabaya yako.
ukisoma sala ya baba kuna mstari unasema " mapenzi yako yatimizwe duniani hata mbinguni" kama sijakosea.
Hvyo basi kwa mapenzi yake yeye aliye mtukufu ndo yote hayo uliyouliza mzizi wake mungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.