Recent content by pakashumeeew

  1. pakashumeeew

    JamiiForums Tanzania Paulo Chacha ana akili timamu?

    Punguani kabisa lile jamaa..na meno yake ya mbele kama simbilisi!
  2. pakashumeeew

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Daktari aliyempiga Polisi usalama barabarani hajulikani alipo

    Yupo hospital gani
  3. pakashumeeew

    JamiiForums Tanzania Pole zinaenda kwa Samia peke yake, Je, Wake wenza hawajafiwa? Ubaguzi umezidi hadi msibani

    Lissu peke yake ndio alielekeza pole kwa "wafiwa".
  4. pakashumeeew

    JamiiForums Tanzania Leo imetimia Miaka 9 tangu Tundu Lissu apigwe risasi 16

    Udhalimu huu hautosahaulika. Miaka 9 ya ukimya wa serikali ya CCM juu ya nani aliyemshambulia Lissu unathibitisha tu kwamba dola ilihusika kwa namna moja au nyingine kulinda wauaji.
  5. pakashumeeew

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanamke aliyetambulika kwa jina la 'Rose' adaiwa kutekwa maeneo ya Mlimani City

    Una uhakika gani kwamba hawatamuua?
  6. pakashumeeew

    JamiiForums Tanzania Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

    Pengine ndugu zake wameonywa "tukisikia nywinywinywi ndugu yenu hamtomuona tena!"
  7. pakashumeeew

    JamiiForums Tanzania Serikali itatoa elimu ya katiba kwa Wananchi kwa miaka mitatu August 28,2023

    1. Katiba ni kijitabu tu 2. Watanzania wanataka ugali mezani sio katiba mpya 3. Katiba tuliyonayo nzuri sana ndio maana tunabadilishana madaraka ya juu kwa amani kabisa bila kuwa na mizozo, na mabalozi mmeona.
  8. pakashumeeew

    JamiiForums Tanzania Karata pekee aliyo nayo Nchimbi ni kujiunga CHADEMA

    Zitakuwa ni dramas zile zile za Lowassa, Sumaye na mhuni Mbowe
  9. pakashumeeew

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bodaboda wengi hawajui matumizi ya taa za ‘dabo hazadi’, waelimishwe

    Ndio maana unaambiwa ukiwa barabarani jihesabu wewe peke yako kuwa ndiye mwenye akili timamu.. madereva wengine wote wehu.
  10. pakashumeeew

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kesi ya Lissu: Atakutwa na hatia, atapewa kifungo cha nje, under house arrest na atazuiwa kufanya shughuli zozote za kijamii na kisiasa

    Kwa majaji wanaofanya kazi kwa maelekezo maalum halishindikani neno lolote
  11. pakashumeeew

    JamiiForums Tanzania Mahakama: Lissu ana Kesi ya kujibu kutokana na ushahidi wa Jamhuri uliotolewa (Agosti 21, 2026). Amtaja Rais Samia kuwa shahidi wake

    Katuga+majaji=💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩💩
Back
Top Bottom