Recent content by pakamweupe

  1. P

    Pinda akiwa Rais, mtamuona Kikwete ni bora zaidi

    Hatushangahi mti wenye matunda mazuri kupigwa mawe .Pinda ni kiongozi makini na bora ndiyo maana ameweza kufanya kazi na viongozi wa serikali za awamu zote kuanzia Mwl.Mwalimu Nyerere,Ali Hassan Mwinyi,Benjamin Mkapa na baadae J Kikwete kama Waziri Mkuu.Amefanikiwa kufanya kazi na viongozi wote...
  2. P

    Pinda akiwa Rais, mtamuona Kikwete ni bora zaidi

    Unaangaika bure mpaka povu linakutika umeshakula posho ya Edward Lowassabasi tabu tupu kila unayemuona mbele yako unasema uongo na kutukana mara leo umemtusi Pinda mara kesho Wasira mara siku nyingine umemtusi Membe mara siku nyingine umemtusi Mwigulu yani kila siku wewe kazi yako kuzusha uongo...
  3. P

    Kikwete amkaribisha Ikulu Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck

    Wewe anakuhusu nini kabinti kanakompenda fisadi nguli Edward Lowassa,mnasubiri kunyolewa tu
  4. P

    John Magufuli: Ninautamani urais!

    Huyo jamaa hafahi kuwa rais hana hekima wala busara maamuzi yake huwa ni ya kukurupuka sana ameitia sana hasara serikali imekuwa ikilipa fidia mara kwa mara kutokana na maamuzi yake ya hovyo tumeona kwenye ile meli ya samaki tumetakiwa kulipa fidia shilingi bilioni 2 baada ya kushindwa kesi pia...
  5. P

    Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    Hutoipata kamwe kwani fisadi hawezi kukemea fisadi mwenzie
  6. P

    Hii ya Pinda sasa ni Kufuru: Akaunti ya Nyau yafikishwa zaidi ya Billioni 10

    Mimi sina kundi lolote Ninachokutahadharisha usiwe na tabia ya kuchafua viongozi wa serikali kwa matakwa yako ni kosa kubwa kuzusha jambo ambalo huna ushahidi nalo.Ukiendelea na tabia hiyo yatakukuta kimya kimya
  7. P

    Hii ya Pinda sasa ni Kufuru: Akaunti ya Nyau yafikishwa zaidi ya Billioni 10

    Friends wa Edward Lowassa mna tabu kweli mada mnaleta wenyewe,mnachangia na kuipamba wenyewe kwa IDs tofauti tofauti ili kuuaminisha umma uongo wenu.Hapo mmenoa tumewashtukia MNAJITEKENYA WENYEWE na KUCHEKA WENYEWE kamwambieni Bosi wenu Edward Lowassa kwa mbinu chafu hizo za kuwamtumia hasa...
  8. P

    Hii ya Pinda sasa ni Kufuru: Akaunti ya Nyau yafikishwa zaidi ya Billioni 10

    Wewe si wale wale kundi moja na Tabia moja uliona wapi kesi ya Chui ya kula nyama ikasikilizwa na kuhukumiwa na Simba.Tunawashangaa sana Friends wa Edward Lowassa MNAJITEKENYA WENYEWE na KUCHEKA WENYEWE.
  9. P

    Hii ya Pinda sasa ni Kufuru: Akaunti ya Nyau yafikishwa zaidi ya Billioni 10

    Mkuu Jenga hoja ueleweke ,weka Taifa mbele na masilahi yafuate baadae
  10. P

    Hii ya Pinda sasa ni Kufuru: Akaunti ya Nyau yafikishwa zaidi ya Billioni 10

    PAC hawakuliona hilo mpaka umekuja kuliona wewe?Nini hasa siri ya mafanikio yako
  11. P

    Hii ya Pinda sasa ni Kufuru: Akaunti ya Nyau yafikishwa zaidi ya Billioni 10

    Wakuu kokote mliko twendeni na Slogani hii "Kataa Edward Lowassa kwa Maendeleo ya Taifa". Huyu ni kiongozi ambaye mafisadi wanampigania kwa nguvu zao zote na wanataka awe raisikwa manufaa na faida yao wenyewe lengo kubwa likiwa ni kupewa tenda na mikataba mikubwa ya kiuwekezaji mfano.madini,gesi...
  12. P

    Hii ya Pinda sasa ni Kufuru: Akaunti ya Nyau yafikishwa zaidi ya Billioni 10

    Kwani Edward Lowassa anataka urais wa wapi?wakati yeye ni mgonjwa kiafya,fisadi na muumini mkubwa wa Rushwa .Taifa lilipofikia linahitaji kiongozi Experienced,Mwaminifu na Mwadilifu
  13. P

    Hii ya Pinda sasa ni Kufuru: Akaunti ya Nyau yafikishwa zaidi ya Billioni 10

    Haya yote yanatokea kwa sababu ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2015
Back
Top Bottom