Recent content by pakacha77

  1. pakacha77

    JamiiForums Tanzania TANROADS mnapata hela za kurudisha wakati huku Kibamba tuna lami chini ya asilimia 5 jimbo zima?

    Nchi nyingi za Afrika zina milolongo mirefu ktk kutekeleza masuala ya maendeleo mpaka watakwambia sijui upembuzi yakinifu unafanyika kabla ya kujenga barabara tena upembuzi huo huchukua mwaka au zaidi wakishamaliza hapo utasikia Serikali inatafuta pesa yaani we acha
  2. pakacha77

    JamiiForums Tanzania Jeff Leah: Yanga itafungwa 3-0 na Marumo na nina uhakika haitofuzu Fainal wala kuchukua kombe

    Well said ni kweli huyu jamaa anajiona yeye ni Bora kuliko wachambuzi wengine anapenda Sana kukosoa wachezaji wetu ktk ligi ya kibongo anapenda Sana kuwasifia akina Shalulile na wachezaji wengine nje ya ligi yetu hata kama wachezaji hao wana viwango vya kawaida
  3. pakacha77

    JamiiForums Tanzania Jeff Leah: Yanga itafungwa 3-0 na Marumo na nina uhakika haitofuzu Fainal wala kuchukua kombe

    Bado yataitwa maoni na maoni hayawezi kubadilisha rangi bluu kuwa nyekundu matokeo yatategemeana na game plan za walimu wote wawili
  4. pakacha77

    JamiiForums Tanzania Tunakumbushana: Marumo Gallants walishafungwa Ugenini 4-1 na USM Algers, 2-0 na Al Akhdar ila kwao wakashinda 4-1 na 2-0 na kuvuka

    Sasa hao Al Kadar ndio Yanga dunduka wewe ? Kabla si mlisema Yanga hawana uwezo wa kumfunga Marumo eti kwa kuwa walipata droo na Pyramids kule Misri . Mtakufa kwa Sonona simbilisi nyinyi mkubali tu Yanga is the next level
  5. pakacha77

    JamiiForums Tanzania Waliomuua Dkt. Isack wa Nyamongo HC wakamatwe haraka

    Kwa ujumla mikoa ya ukanda wa Pwani ukiondoa Dar es Salaam kutokana na mchanganyiko wa makabila mbalimbali ni mikoa ambao si rahisi kusikia matukio ya mauaji kama ilivyo mikoa ya kanda ya Ziwa na mikoa ya nyanda za juu kusini
  6. pakacha77

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabi Kaisuka Yanga SC kwa miaka Miaka Miwili, Kocha Oliveira Kaisuka Simba SC kwa Miezi Minne je, yupi ni Bora?

    Logic ni nini hasa ? Utamlinganisha Nabi na huyo kocha wenu au mmevurugwa na matokeo ya Jana ? Mpaka sasa Nabi ana kombe 1 NBC Premier League na yupo mbioni kutetea taji,Nabi ana ngao ya jamii mara 2,Nabi ana Azam confederation cup 1 na Sasa anaiongoza Yanga kwenye michuano ya kimataifa sasa...
  7. pakacha77

    JamiiForums Tanzania Wydad wamekwishatolewa na Simba, amini maneno yangu

    Mashabiki wengi wa Simba waamini mechi hii itakuwa rahisi hii inatokana na Msemaji wao kocha na wachezaji wao kutoa kauli za kishujaa ni vizuri sana hutakiwi kuingia kinyonge hasa kwa timu kubwa tena bingwa mtetezi ili upate ni lazima uwe na confidence. Angalizo langu tu kwa mashabiki wa Simba...
  8. pakacha77

    JamiiForums Tanzania Nilipoona tu Jana Filimbi ya Mpira kuanza na Mpira Kupigwa Nje Makusudi nilijua Rivers United FC wameshakufa

    Nyinyi mbona kabla ya kucheza na Raja pale kwa Mkapa dereva wa basi lenu alirudi kinyumenyume na bado mkapasuka au ilikuwa mbinu ya kupunguza magoli ? Na vipi kule South Africa mwaka Jana dhidi mlivyowasha Moto uwanjani na bado mkapasuka au mhanga wenu aliwaambia mpunguze magoli kwa kuwasha moto...
  9. pakacha77

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa hauwezi kurudi bungeni. Asia Msangi popote ulipo jiandae kwenda Bungeni 2025

    Kilio cha barabara mbovu si cha Jimbo la Ukonga pekee hata huku kwetu Jimbo la Kibamba yaani ni kero juu ya kero na inavyoonekana ujenzi wa miundombinu ya barabara sio kipaumbele cha Serikali ya awali ya SITA ukiangalia hata kwenye Miradi ya barabara inaenda kwa Kasi ndogo mno makandarasi...
  10. pakacha77

    JamiiForums Tanzania Manula out Kariakoo derby ya kesho

    Tena mambumbumbu si kidogo
  11. pakacha77

    JamiiForums Tanzania Mkifungwa Jumapili Visingizio vifuatavyo hatuvitaki tafadhali

    Mmeshaanza kuchachawa ukweli hamna timu ya kuifunga Yanga amini hilo
  12. pakacha77

    JamiiForums Tanzania Mkicheza na Rivers United FC mwambieni na Mchezaji wao Ajipigishe Shoti apewe Red Card ili mshinde sawa?

    Mbona nyinyi kwenye mechi zenu za ligi kama vile Mtibwa wachezaji wawili walijipigisha red card mkashinda 5 mechi na Prison mchezaji 1 alijipigisha red card mkashinda 7 na kuna nyingine ambazo nimesahau . Dunduka ni dunduka hopeless
  13. pakacha77

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya Mifumo ya SGR, Wananchi wanaokaa karibu na reli wapewa tahadhari

    Pamoja na kusambazwa kwa elimu hiyo lakini kutatokea Wapuuzi ambao watajaribu kuharibu miundombinu kwa dhumuni la kuiba baadhi ya vifaa
  14. pakacha77

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi TTCL kupelekwa TRA na bandarini

    Moja ya drawback ya Monopoly system ni hiyo Taasisi zilizopewa dhamana ya kutoa huduma kwa jamii hufanya hivyo tu wanapojisikia yaani mradi liende no innovation at all
  15. pakacha77

    JamiiForums Tanzania Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

    Acha kuishi kwa kukariri wewe ishi kwa uhalisia wa wakati mtapasuka nyingi subirini tu
Back
Top Bottom