nimesoma habari nyingi sana kuhusu wasomali lakini wasomali wanamatatizo yao mwenyewe,hawa matatizo na waswahili,au bantu kumbuka waswahili wengi kutoka kenya,tanzania na uganda hujifanya ni makimbizi kutoka somalia ulaya,pia wasomali wanajua jambo hilo hila hawasemi kwa wazungu,ila waswahili...