Mimi nilipewa namba alokua anatumia bwana Asenga, asee bibi babu, wajomba yani kalibia ndugu wote wanamlilia shida nadhanu ndo sababu akaitelekeza, kubwa kuluko yote ni ile miamala ya n m b, alafu ilikua kipindu cha watumisgu hewa,
Mama mkwe anaugua kansa,anamwezi tangu aje hapa kaenda kwa mwamposa na kakutana nae kushikwa kichwa zaidi ya mara tatu ila mambo ni zero, juzi kaambiwa kina kongamano komboa familia kaja na gia akauze kiwanja apate pesa ya huko, nawangalia na wife alafu na baki hiiiiiii
Umeandika kishabiki, hata hivo hakuna lolote watalo mfanya zaidi ya vikwazo ambavo hata wasio kuwamo wanaumia, kifupi wanamwogopa, hivi rusia ingekua moja ya nchi za afrika bado tungeendelea kujibishana hapa ,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.