Recent content by PAFKI

  1. P

    Mbunge Peter Lijualikali akamatwa baada ya kupost picha ya mtu aliyedai ni Afisa wa Usalama wa Taifa

    Si wamtafutie kazi nyingine, hata kumteua tu kuwa balozi ale hata Kwa pesa zetu na sisi tuendelee kuimba hapa kazi tu.
  2. P

    Nimechoshwa na tabia zake huyu kaka

    Ko Kosa la jamaa ni kukamatwa, kwahiyo unataka aende Kwa mjanja asiekamatika ili adanganywe vizuri!? Haya ninachoamini mm ni kumwambia ukweli aache au apunguze na mvumiliane tu
  3. P

    Kujiuzulu kwa dhana mpya ya kumuunga mkono Mhe. Rais si sawa

    Aliunga jitihada za Johnny Johnny Yes papa?
  4. P

    Kwa sasa tuna tukio la kutekwa/kupotea mwandishi Wa Habari wa Mwananchi

    Yawezekana na mm nikawemo ndio maana nikasema tuungane, lingine?
  5. P

    Kwa sasa tuna tukio la kutekwa/kupotea mwandishi Wa Habari wa Mwananchi

    Poleni na wala siungi mkono Kwa kupotea huyu, kuna watu wanadhani haiwahusu kama pia walivyodhani waandishi wa habari wengine kuwa haiwahusu kupotea Kwa benn saa8 lkn sasa imekuwa mwandishi wa habari, nataka niwaambie wale wanaoamini haiwahusu waache waendelee tu hadi siku itakapowahusu, Kwa...
  6. P

    Kwa mbwembwe zote zile mshahara wa watumishi wa Umma imeongezwa Tsh 7,000/=(elfu saba tu)

    Najua ukoo wako wote hamjasoma na hakuna hata rafiki au Ndg alieajiriwa ndio maana unajibu hivyo, ila ungelijua nafuu ya Jirani yako inaweza kuwa nafuu yako direct or indirect
  7. P

    Kwa mbwembwe zote zile mshahara wa watumishi wa Umma imeongezwa Tsh 7,000/=(elfu saba tu)

    Kama kweli umetumia Akili na taratibu kama mkataba unavyosema, hii ni ya mwaka Jana, na mwaka huu ilitakiwa ianze July ziko wapi hela zangu (Kiuhalisia mm nimedhulumiwa hela zangu na serioali)
  8. P

    Imebaki saa 20 uwongo wa Serikali uanze kujidhihirisha

    Kazi unataka niifanyie nn zaidi?
  9. P

    Sophia Simba aomba Msamaha, asamehewa na kurejeshwa CCM

    Wamekula matapishi unachezea njaa ww!?
  10. P

    Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

    Huyu jamaa anatumia njia kama iliyotumika siku Lisu alipopyuuuuuuuuuu na Leo watu wanahama chama ili kufunika kuungua moto Kwa CMG hahaha
  11. P

    Mhe. Spika, umeshaipata nakala ya Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu Wabunge 8 wa CUF?

    Wewe amekuomba ada mbona povu? Bishana Kwa hoja watu msiokuwa na hoja huwa MNA hasira
  12. P

    Kinachoendelea Zimbabwe: Nchi yawekwa chini ya Jeshi, Mugabe kung'olewa?!

    Mood sio poa kwan thread yangu inanini mpaka umeimerge na hii?
  13. P

    Kinachoendelea Zimbabwe: Nchi yawekwa chini ya Jeshi, Mugabe kung'olewa?!

    Nilivyosoma tu nilitaka nimjibu sio kumuambukiza tu!
Back
Top Bottom