Nashindwa kupata picha taifa litakuwa na watu gani siku zijazo kama vijana wetu ndo wanakuwa iv.Miaka minne mtu unasoma afu mwisho wa siku unajibu ujinga.Yanatakiwa maombi ya hali ya juu jamani
Jamani napata maumivu ya mifupa ya kwenye ugoko miguu yote,nashindwa kuelewa ni kitu gani kinasababisha hii kitu maana cjakimbia wala kufanya zoezi lolote cku za karibuni
Jamani nina tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na ni la muda mrefu kidogo kama miaka 4,nimetumia dawa kadhaa lakin bila mafanikio
Uume wangu misuli yake imelegea,ukisimama unakuwa hauna nguvu na unawahi kusinyaa,nawahi kumaliza bao la kwanza na kuendelea siwezi mpaka nishikweshikwe uume na...
Mi ni kijana wa miaka 22,lakini nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu sasa(kama miaka 4).Uume wangu hausimami ukakaza maana misuli yake imelegea,nakomea bao moja tu tena nawahi sana kumaliza,raundi ya pili ni ya kulenga kwa manati mpaka ushikweshikwe uume na ukisimama hauna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.