Recent content by pachachiza

  1. pachachiza

    JamiiForums Tanzania Sampuli ya wachimbaji wachache waliofanya kufufu ya kuchezea noti ndio sababu ya kuwanyima ruzuku mamilioni ya Watanganyika wanaohangaika maporini?

    Ila ni sahihi kununua magari ya kifahari na kulipana posho kubwa bungeni au kulipia goli la mama kwenye michezo.
  2. pachachiza

    JamiiForums Tanzania Dotto Magari: Hakuna tajiri anaeishi porini,matajiri wanaishi mijini kama Dar.

    Dotto mjanja nia yake wale jamaa wakasirike waje kununua magari kwa fujo na wampe ganji hiyo akili kumukichwa
  3. pachachiza

    JamiiForums Tanzania FT: Mbeya City 0-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Uwanja wa Sokoine | Juni 17, 2026

    Simba ndio waliomba mechi ichezwe muda huu kwa ajili ya kuwahi usafiri
  4. pachachiza

    JamiiForums Tanzania Nani aliwalipata vijana walioingia barabarani October 29, 2025 siku ya uchaguzi?

    Kwahiyo vyombo vyetu vimelala kabisa kina Heche na Jacob wanagawa pesa wanawaachia tu watambe
  5. pachachiza

    JamiiForums Tanzania Vitu/vifaa gani ulivinunua kwa mihemko na umejikuta huvitumii kabisa?

    Kwa mkanda achukue screwdriver unafungua hapo halafu unakata kwa kiwango unachotaka
  6. pachachiza

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hii ni ripoti ya Rais, aliyeunda Tume ni Rais, wasitokee watu wengine wakadai ownership

    Greyson atakuja kutoa ufafanuzi kwahiyo kauli
  7. pachachiza

    JamiiForums Tanzania Uislamu na kuchinja mifugo inayoliwa na watu

    Kama nyama inaliwa na waislam unawaachia wao wachinje maana hawawezi kula nyama iliochinjwa na kafiri ila kama ni wewe na familia yako chinja unavyotaka mkuu.
  8. pachachiza

    JamiiForums Tanzania REKODI YA KIBADEN KUFIKIWA UWANJA WA AMAN...TUKAE MKAO WA KULA

    Hii rekodi ingevunjwa na Max kwenye bao 5-1 lakini sielewi kwanini hawakumpa kupiga penati
  9. pachachiza

    JamiiForums Tanzania Waislam watanzania licha ya Quran kuwaambia waitafute elimu mpaka mchina lakini mpaka Leo Wana chuo kikuu kimoja tena chakupewa

    Lakini hiyo awamu ndio ilitoa eneo lote la keko ili kuanzisha chuo kikuu ila baadae eneo likaanza kuuzwa na viongozi wa Bakwata ndio mpaka leo Sheikh Ponda anapigania eneo lirudishwe.
  10. pachachiza

    JamiiForums Tanzania VIDEO ikionesha mashabiki wawili weusi wakifanyiwa masimango na mashabiki wa Morocco waliowazunguka

    Nilikuwa na Jamaa yangu Misri kwenye Pyramids kunakuwa na mabasi mnapanda kuyafuata halafu yanawarudisha sasa wakati wa kurudi jamaa yangu kakaa siti mbele na mimi nyuma. Gari ilivyojaa tukawa mimi na jamaa tu ndio siti zetu hazijakaliwa siti za pembeni yetu ila waarabu wamesimama. Mpaka akaja...
  11. pachachiza

    JamiiForums Tanzania Loser is always a loser. Best loser never exist

    Mbona Mali bado wapo
  12. pachachiza

    JamiiForums Tanzania Nimepata hasara kubwa sana kutokana na mechi ya Simba dhidi ya Fountain Gate

    Mkuu ukiwa unapata pia shirikisha ulichopata na watu humu sio ukiliwa ndio uombe msaada
  13. pachachiza

    JamiiForums Tanzania Leo tunamaliza malumbano kuhusu upangaji wa matokeo katika ligi ya NBC

    Vipi mlivyocheza na Tabora ya Rage game zote 2 bila ya wachezaji wa kigeni ukujisikia hali hii unayojisikia leo?
  14. pachachiza

    JamiiForums Tanzania Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

    S Shooters patamu haswaa ijumaa nitarudi tena hapo
  15. pachachiza

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Amli Miroud hana sifa za kukaa kwenye benchi la Yanga, nadhani waache propaganda nyepesi

    https://www.jamiiforums.com/threads/kocha-mpya-wa-yanga-hana-sifa-za-kuwa-kocha-mkuu-wa-ligi-kuu-ya-tanzania.2305028/
Back
Top Bottom