Recent content by Pacbig

  1. Pacbig

    Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

    Akikua ataacha, utoto unamsumbua.
  2. Pacbig

    Kenya 2022 Jinsi laana ya kuunga mkono Udikteta wa Magufuli ilivyomwangusha Raila Odinga

    Labda hilo la kumtoa maji kichwani kuna hoja. Ila kiumri bado anaweza, hata Biden ana 80+ na anaongoza nchi.
  3. Pacbig

    Say No to Racims, nasimama na Dejan Georgijevic

    Uzuri wazungu hata tukiwabagua huwa hawajisikii vibaya kama sisi weusi. Kwa sababu Mzungu hajawahi kuwa na inferiority complex mbele ya mtu mweusi.
  4. Pacbig

    Haya ya kufanyiwa kazi haraka Simba SC kabla ya kuanza Ligi Kuu na michuano ya CAF

    Nilipoona tu yumo Kibu, Kanoute, Mkude na Kyombo nikajua hapa leo hatutoboi. Kanoute aliniprove wrong, lakini hao wengine hakuna walichokifanya.
  5. Pacbig

    Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Never give up The dude deserved to be the prezzo long time ago, but amedhurumiwa sana. Sio mbaya katika kupambana kwake amefanikiwa kupata hata uwaziri mkuu. Shoot for the moon if you miss you will land amongst the stars.
  6. Pacbig

    Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Ruto nae ni mhendisamu? Aisee kweli nimeamini beauty lies in the eyes of the beholder.
  7. Pacbig

    Kenya 2022 Wakenya wanapaswa kuwa na subira matokeo yatangazwe

    Toa ujinga wako wa ki CCM Wakenya ni watu smart, sio wajinga wajinga kama bongolala.
  8. Pacbig

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Apigwe Spurs hao Chelsea hawana mbio, hata wakitangulia tutawakamata tu.
  9. Pacbig

    Mpenzi wangu ana mahusiano na kaka yangu wa damu

    Ni rahisi sana kuzungumza. But one thing, Ndugu ambaye yupo tayari kukuzunguka kwa demu wako na anajua kila kitu maana yake hakupendi, hakujali, mbinafsi, mpumbavu. Mpaka hapo hakuna haja ya kuendeleza udugu wa kinafiki
Back
Top Bottom