Recent content by pabro11

  1. pabro11

    JamiiForums Tanzania Saudi arabia wameingiza mapato 8 Billion usd kwenye mwezi wa ramadhani na EID kutoka kwa watalii milioni 122 waliokuwenda kusali ibada za Umra

    Alaf unakuta Kuna mvaa kobazi mmoja na yeboyebo zake za njano oversize zilizojaa vumbi jasho linamtoka kulingania dini alaf haimuingizii hata mia
  2. pabro11

    JamiiForums Tanzania Yatakayokupata kama unatazama picha & video za utupu

    Umenikumbusha ngoja kwanza nikapashe mlenda
  3. pabro11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabraza zetu mnapoingia guest muwe mnazima taa na mshushe mapazia

    Sijaelewa.... yaani jamaaa kalala chini kama missionary(cha mende) alaf manzi ndo ipo kwa juu?
  4. pabro11

    JamiiForums Tanzania Mna uhakika Bakhresa na Familia yake wanaangalia haya maujinga

    🤣🤣🤣 mkongwe wa hizi kaz(chudai)
  5. pabro11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya tendo akasema namchafua!

    Aisee comment yangu imebadilishwa na nani mpaka imekaa kigashi 😡😡😡
  6. pabro11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya tendo akasema namchafua!

    Kwani sio wa kike uyo
  7. pabro11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya tendo akasema namchafua!

    Fanya uchunguz huenda lain zote zinasoma ndio maana hatak mipinduko mingine usije ona usivyotakiwa ona
  8. pabro11

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa akina Sativa,Taivina na punter wengine wa paripesa mbona ukiscan mikeka yao haipo??

    Kwamba ni wahuni sio stake za kweli?
  9. pabro11

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa akina Sativa,Taivina na punter wengine wa paripesa mbona ukiscan mikeka yao haipo??

    Wakubwa Habari... Nina swali kidogo kuhusu hawa jamaa maarufu kwa BETTING huko twitter mbona Yale Majamvi yao ya STAKE kubwakubwa ukiscan kwenye betslip scanner ya paripesa yanakataa? Ni mimi ndio sielewi ? Ama wanashirikiana na paripesa kuingiza watu mkenge? Ama ile option ya betslip scanner...
  10. pabro11

    JamiiForums Tanzania Kuchapwa watoto kiasi hiki ni sawa?

    Mkuu elezea zaidi nini kifanyike ?😆
  11. pabro11

    JamiiForums Tanzania KWANINI MBILIKIMO WENGI WANAFANANA?

    Namaanisha muonekano wa sura mkuu
  12. pabro11

    JamiiForums Tanzania KWANINI MBILIKIMO WENGI WANAFANANA?

    Habari wakuu naomb kujuzwa kuhusu hili jambo kwa wenye ujuzi wa masuala haya ya genetics ....(lengo kujuzwa sio ubaguzi kama Kuna jina lingine sahihi zaidi nilipaswa nitumie mtanisamehe) Kwanini hawa jamaa wanafanana sana hasa wa kiume ? Nishapishana nao kama Sita hivi maeneo tofauti ajabu...
  13. pabro11

    JamiiForums Tanzania MBONA GALAXY A SERIES ZOTE FB NI 250K?

    MKUU iyo A15 nikivunja kioo marekebisho ni cheap au kama S series tu?
  14. pabro11

    JamiiForums Tanzania MBONA GALAXY A SERIES ZOTE FB NI 250K?

    Ahsante kaka
Back
Top Bottom