Habari zenu wakuu!Nina viroba zaidi ya 100 vya mihogo.Natafuta soko.Nipo Kahama,Shinyanga.Serious buyers only.Call 0759884771 au e-mail fkiganja@yahoo.com kwa bei na maelewano.
Natumaini sote tu buheri wa afya wakuu,
Naomba niende kwenye lengo moja kwa moja. Nina viroba vya mihogo zaidi ya mia moja(100) hivyo natafuta soko.Bado ipo shambani ila atakayekuwa interested. Nitavuna mwenyewe kisha anachukuwa ikiwa tayari. Nipo Kahama, Shinyanga.
Bei ni maelewano. Serious...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.