Recent content by pablo escober

  1. P

    JamiiForums Tanzania Katika miezi 3, ACT-Wazalendo imeweza kujitambulisha katika Mikoa 22 ya Tanzania Bara

    Dr slaa juzi alisema mwaka 2010 chadema walimsubiri sitta aje agombee urais
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    leteni majibu
  3. P

    JamiiForums Tanzania Saluti kwako Lema: Zitto, Kitila na Mwigamba walitaka kugeuza CHADEMA tawi la CCM

    hivi nyie wanasiasa wa bongo msitufanye sisi watoto wadogo 2010 mlisema cuf na nccr ccm b sasa hivi act nayo ccm b tuelewe nini sasa acheni hizo Mambo wote nyie wasaka tonge tu hakuna jipya mnatetea maslahi yenu bongo hakuna siasa kuna matapeli wa kisiasa upumbavu mtupo hakuna mwenye uchungu wa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Saluti kwako Lema: Zitto, Kitila na Mwigamba walitaka kugeuza CHADEMA tawi la CCM

    hivi nyie wanasiasa wa bongo msitufanye sisi watoto wadogo 2010 mlisema cuf na nccr ccm b sasa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeibiwa laptop ninaweza kuipata?

    hebu toa maelezo kwa kina brother
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeibiwa laptop ninaweza kuipata?

    hivi nikienda Vodacom na namba ambayo nilikua natumia Kwenye modem wakati wa kuingia internet wanaweza kunipatia ip adress ya computer iliyopotea then tukajua nani anaitumia hiyo computer na namba ya simu ya hiyo laini anayotumia kuingilia internet..vp hii idea itafanikiwa kweli
  7. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeibiwa laptop ninaweza kuipata?

    Asante mtu wangu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeibiwa laptop ninaweza kuipata?

    nilinunua muda sana sina hiyo service tag
  9. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeibiwa laptop ninaweza kuipata?

    Nimeibiwa laptop pale ofisini kwetu, Je! Kuna jinsi ya kuweza kuitrack iliko?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Anna Makinda: Natambua Zitto Kabwe bado ni mbunge

    Go zito fanya yako inshallah mwenyezi mungu atakusaidia
  11. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Live ndani ya HOTMIX EATV

    tutasikiliza nondo zake na kuzifatilia vilivyo kama zina neema na tija kwa taifa letu
  12. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kuwasilisha hoja binafsi bungeni juu ya ufisadi wa IPTL/ESCROW

    wote sawa ila hapo kwa lema Mi simkubali hyo jamaa
  13. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuchangia CHADEMA kwa njia ya M-PESA

    kwangu Mimi siwezi changia chama chochote cha siasa Hata kama ukiniwekea panga shingoni
  14. P

    JamiiForums Tanzania Serengeti fiesta 2014 special thread

    sio kumchukia tatizo hajui kutofautisha mziki na maisha yake binafsi
Back
Top Bottom