Recent content by P.hunter

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    Hahha polee, ulipiga dry au
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    Ni story ndefu mzee, lakini me sio mtu wa kuokota ma bar maids...Sijui ni pepo au ni stress
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    Sa kama ni Majibu yangu umu nimeyaleta ili iweje!?
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    Wapendwa Kitu kingine nimekuja kugundua Kumbe ile liquid ime expire toka mwez wa nne, japo nimempigia daktar kujua kama kuexpire kunaleza kukaleta false result amenambiaa inaezekana majibu ni ya kweli, Akashauri nirudie kumpima next time
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    Kaka ata sikulazimishii Huniaminii lakini ishu ndo ilikuwa hvo...Then sio mara moja kwake kuja apo kwangu na sikumchukuaa kwa lengo la kumgonga na kumuacha tu wala sikumwambia kuwa nampa pesa na hyo siku ya tukio tulikuwa tumelewa nafikir ndomana alikuwa haulizii chochotee...ata asubuh...
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    Yaani Wanataka watunge story yao
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    Yaani hakunambiaa wala ata hakuwaza kuangaliaa yale matokeo... yn ni kama alinisusia akijua yy ni mzima kwa 100% kwahyo hana shida ya kuyaulizia
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    NAona wengi mnashindwa kunielewa kwasababu tu nimeongea maneno Machache, Lakini Kuclear ni kwamb uyu Bintii ameshawahi kuja kwangu Mara mbili kabla ya hii ishu kutokea na sikumgusa ata kdgo na tulilala kitanda kimoja...Siku zote mbili alizokuja tulikua tunapiga story...nlimwambia mambo mengiii...
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    Mimi sijawah kupimaa ata siku moja...ila alilidhia nimpime na hakutaka kujua status yangu maana alivoona nna vipimo aliniamini sana
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    Kiongoziii sijui nikwambie nn ili unielewe lkn tulikuwa tumelewa, tena nilimpa K vant...mimi kwangu nina vipimo box zima, sheria ya kwenda kavu kwangu mpka upime, halafu sasa nikwambie kitu katika hvo vipimo nlivokuwa navyo me sijawah kujipima ata kidogo, mademu wote wakija nawapimaga wao tu na...
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    Hv vipimo nlinunua box zima kwa nesi, akanielekeza jinsi ya kupima, mbali na apo sina uzoefu mwingine
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    Haha haya Asantee kaka
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    Sikula mzgo nlimwambiaa nmelewa sanaa tutafanya asubuh, nikamkumbatiaaa akalala kifuani mpaka asubuh...ilivofika asbh tukawa tumechelewa kuamkaa akasema anawah kazn atarud badae
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

  15. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    Na mm nimewaza hv lakin naona nafsi inanisuta
Back
Top Bottom