Recent content by P and J Poultry Farm

  1. P

    Vifaranga wa kuku wa Kienyeji

    Kuna aina nyingi za ufugaji. Ufugaji wa ndani ili kuwakinga na magonjwa, ufugaji uria ila ndani ya fence pia ni kuwakinga na magonjwa na kuna ufugaji huria 100% hivyo inategemea na wewe unataka kufuga kwa style ipi
  2. P

    Vifaranga wa kuku wa Kienyeji

    Havileti shida iwapo utazingatia Usafi, Chanjo, lishe na kuwa karibu kuwasoma tabia zao na mabadiliko yao.
  3. P

    USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

    Mwisho wa mwezi ujao mkuu Piga simu 0752093038 kwa maelezo zaidi.
  4. P

    Vifaranga wa kuku wa Kienyeji

    Nicheki kwa 0752093038 tuongee
  5. P

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mwenye kuchi original please nicheki kwa 0758701818 tufanye biashara
  6. P

    USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

    Inategemea na umri Umri Bei 1. Siku moja 1 @ Tsh 2,000/= 2. Wiki mbili 1 @ Tsh 3,000/= 3. Mwezi 1 @ Tsh 3,500/= Karibu sana mkuu
  7. P

    Vifaranga wa kuku wa Kienyeji

    Kwa mahitaji ya vifaranga wa kuku wa kienyeji:- Bei Umri wa siku 1 ni Tsh 2,000 Umri wa wiki mbili Tsh 3,000 Umri wa mwezi mmoja Tsh 3,500 Tunapatikana Kanyama - Kisesa mkoani Mwanza. Mawasiliano:- 0752093038
  8. P

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Bei ni moja kwa vifaranga wa kuku aina zote isipokuwa ni umri tu Kifaranga cha siku 1 ni tsh 2,000, kifaranga cha wiki 2 ni tsh 3,000 na kifaranga cha mwezi 1 ni tsh 3,500. ************KARIBU SANA**********************
  9. P

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Tunao Kuku wa malawi - weusi wanafaa kwa mayai na nyama pia, hustahimili magonjwa, huwa na uzito mkubwa Chotara - Wanafaa kwa mayai na nyama, huwa na uzito mkubwa Kloiler - Wanakuwa kwa haraka na wanafaa kwa mayai na nyama. huwa na uzito mkubwa
  10. P

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Jibu: Chanjo zote zinazotakiwa kabla hujawachukua tunakuwa tumewapa. 1
  11. P

    Funza kwa ajili ya mifugo

    Kwa uzoefu wangu: Chukua kinyesi cha Ngombe kisha weka kwenye gunia mwagia maji kila siku asubuhi na jioni baada ya siku saba geuza gunia utakuta funza wa kutosha kwa ajili ya kuku wako. ukiwa na gunia 10 utakuwa umepunguza gharama za chakula kwa kiasi kikubwa sana. kwa mahitaji ya vifaranga...
  12. P

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Vifaranga vya kanga ni tsh 6,000 bata mzinga wa mwezi tsh 50,000/=
  13. P

    USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

    Safi sana kwa mada nzuri, Mimi ni mfugaji na ninatotoresha vifaranga wa Malawi (Black), Chotara, na Kloiler nimekuwa nikipitia changamoto nyingi katika masoko wengi hawajafahamu hizo mbegu wanakimbilia kwa kuku wa kienyeji pure ambao ni wazi hawana faida kubwa. Kwa somo hili litanisaidia...
Back
Top Bottom