Recent content by oyeiko ngeleja

  1. O

    Tuwachore tu tumechoka!

    Asingekuwa mwanasiasa unadhani angekuwa nani?
  2. O

    Kamati kuu yapitisha ratiba ya uchaguzi mkuu CHADEMA

    Hadi tarehe 30/07/2014- kukamilika uchaguzi wa kata Hadi tarehe 15/08/2014- kukamilika chaguzi za majimbo/wilaya Hadi tarehe 30/08/2014- kukamilika chaguzi za mikoa Tarehe 6/09/2014- Uchaguzi wa Baraza la Wazee Tarehe 10/09/2014- Uchaguzi BAVICHA Tarehe 11/09/2014- Uchaguzi...
  3. O

    Mbowe kuwaingiza rasmi CUF na NCCR Serikali Kivuli Bungeni

    Taarifa ya kuaminika kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani mh.mbowe muda wowote kuanzia sasa anavunja rasmi baraza la mawaziri kivuli na kuunda baraza jipya lengo ni kuingiza mawaziri wapya wabunge kutoka nccr na cuf ili kuimalisha ukawa na kutetea maslahi ya wananchi,sasa yametimia miaka 50 ya...
  4. O

    Baada ya UKAWA kutoka nje,umeona tofauti ipi Bungeni ?

    Kikao tulichofanya wanaharakati mapema leo tumeadhimia kuungana na team ukawa ili kuongeza nguvu kudai katiba ya wananchi,aidha chama cha mashetani(ccm) kimetudhalilisha sana watanganyika kwa kutohitaji tanganyika huru irudi wakati zanzibar ni nchi huru kwa mujibu wa katiba ya...
  5. O

    Wassira: Hati ya Muungano imesha fika Dodoma leo!

    Hati iliyotolewa ni batili ccm wamekosa hoja kweli sasa tuamini sahihi gani hapa,acheni upuuzi nyie wapuuzi,tunachosema ni kuwa muungano huu ni batili na tunaitaka tanganyika,watanzania acheni uoga tanganyika inamashujaa wengi waliopigania uhuru na tanganyika ikawepo amini nawaambia tanganyika...
  6. O

    Kikwete na serikali yako kiziwi mnatutafuta nini wananchi?

    Kwa nyerere kumekuwa machinjio ya wanawake ni jambo la kushangaza eti serikali imeshindwa kukomesha mauaji ya wanawake butihama kila siku mama zetu wanakufa nyie mnashangilia hadi sasa wanawake nane wamekufa,mbaya zaidi butihama ndiyo alipotoka baba wa taifa kweli mmemdharau sana tata...
  7. O

    Masikini raisi kikwete

    Hotuba ya raisi iliyoandaliwa na wasomi wote wa ccm kwa ufanisi mkubwa sana na mbaya zaidi hotuba iliandaliwa kwa miezi kadhaa ili kumzima warioba na tume yake cha ajabu kafulila ameweza kuijibu kwa dakika 30,hii ni hatari kweli ni heri kafulila angekuwa raisi na siyo kikwete,tuweke itikadi...
  8. O

    Utafiti wa wanaharakati

    Wanaharakati tumebaini asilimia 99 ya viongozi wanasiasa hapa tanzania ni wezi wa fedha ya umma,aidha tumebaini kuwa viongozi wengi wana tamaa ya madaraka na hawana uzalendo kabisa ingawa wanajifanya wazalendo,viongozi hawa ni walafi kama nguruwe,tuandikie jina la kiongozi mwenye sifa za nguruwe...
  9. O

    Landmark hotel: Kongamano kuhusu katiba mpya tarehe 5 April, 2014

    Wanachama wote wa CUF,NCCR Mageuzi na CHADEMA pamoja na wakazi wote wa Dar es salaam kwa heshima na taadhima mnaombwa kufika Landmark Hotel Ubungo leo jumamosi tarehe 05/04/2014 saa 03:00 asubuhi kuhudhulia bila kukosa kwenye tukio muhimu la kihistoria la kongamano la UKAWA (Umoja wa Kupitisha...
  10. O

    Waziri mkuu wa Ubelgiji kasema yeye ni shoga

    Waziri mkuu wa Ubelgiji ni kiongozi wa pili Ulaya kutangaza kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja Waziri mkuu wa Ubelgiji anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja, Elio Di Rupo amewasomea viongozi wa Afrika na kuwataka kuheshimu haki za watu wanaotengwa ikiwemo wapenzi wa jinsia moja. Alisema ni...
  11. O

    Jambo limezua jambo

    Wanaharakati tumemshuhudia akijutia kauli yake mbele ya wasomi wenzake,kasema ccm wamempaka matope wamemfanya chambo,kaomba viongozi wa ccm wamsafishe,wasomi wameanza kuwa nae chonjo wakihofia wenda anatoa siri za wenzao,wamemtuhumu ni usalama wataifa,sifa yake aliyojenga kwa miaka mingi...
  12. O

    Jambo limezua jambo

    Mjadala alioendesha Shivji ulilipiwa na CCM,kabla ya mdajala alionekana akiwa katika kikao na viongozi wandamizi wa CCM,mkakati mpya wa CCM kuvuruga mbunge ndani ya wiki mbili zijazo ili Tanganyika huru isipatikane,wanaharakati tumejipanga kufanya mandamano ya kufunga jiji zima.
  13. O

    Prof. Issa Shivji bado tunahitaji Tanganyika huru

    Mjadala wa kipumbavu uliotolewa na mtu asiyejielewa shivji umechukua picha ya tofauti,watanzania wamesema awaombe samahani kwa upuuzi aliosema,ukawa nje ya bunge wamemdhalau wametambua alitumwa na ccm,ndugu zangu wajinga kama hawa ndiyo chanzo cha machafuko nchini,andika neno x kumpinga msomi...
  14. O

    Jaji Warioba amshushua Prof. Shivji kuwa si mkweli, Ni Mpotoshaji!

    Shivji ametumwa kuvuruga mchakato wa katiba mpya nje ya bunge,huyu mtu tumpuuze maana ni msaliti,watanzania tunachohitaji ni tanganyika huru, wanaharakati tumebaini kuwa shivji anataka apewe uwaziri wa katiba 2015.toa neno kwa huyu msaliti
  15. O

    Kikwete: Bunge Maalum la Katiba likivunjika, Katiba ya sasa itaendelea kutumika!

    Wanaharakati tumedhamilia kumshitaki raisi Kikwete endapo bunge la katiba litavunjwa na katiba mpya isipatikane,hoja M/kiti huyu wa CCM na wasaliti wenzake walianza kuhodhi mchakato huu toka mwanzo na kuifanya katiba hii kuwa mali ya CCM na siyo wananchi.Pia ndiyo chanzo cha mtafaruku bungeni...
Back
Top Bottom