Hizi printer si largeformat ni laser machine. Zipo black and white na color na zinauwezo tofauti tofauti, zinaprint glossy maximum 350 g/s but zingine zinaishia 267 g/s. Ziana uwezo wa kuprint upana wa A3 na A4 pia.
Bado best professional printer in the world ni konica bizhub hizi printer zina specifications ambazo wengi wetu atuzifuati.
watu wengi wanatumia bizhub hapa tanzania kuliko printer zozote za rangi kwasababu ya quality graphic color
Kwenye kuprint color kuna kitu kinaitwa transfer belt,
Kazi ya tranfer belt ni kuuchukua picha ya Magenta, cyan, yellow na black na kuisafirisha kwenye karatasi.
Tatizo la image kujirudia au mara zote linatokana na shida kwenye tranferbelt. Pia angalia developer unit na laser unit kufanya rangi...
Je wewe unapenda kufanya digital printing?
Printer aina ya konica minolta ndio zinatumika kurahisisha kazi yako printing.
Sisi ni wataalamu wabobezi wa hizi printing machines pamoja na Ysoft na MyQ.
Nakaribisha swali lolote kuhusu printer ya konica Minolta Bizhub karibuni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.