KWangu Mimi nilishaanza kitambo mno hata kabla Dr janabi kusema baada ya kufukia vyakula na vinywaji mbalimbali nilijijuwa tu hapa ni lazima sumu zitakuwa zimelundikama ndani ya mwili wangu hivyo nilianza kwanza na kuondoa sumu mwili ambazo zilikuwa zimetokana na vyakula na vinywaji...
Sawa tatizo kubwa Zaid la vidonda vya tumbo ni kuzidi Kwa acidic mwilini kwaiyo nilipata kitu kilicho nisaidia. Kuongeza alkaline na Hali ya vidonda vilipona kabisa hata Sasa kila kitu nakula kama awal.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.