Ni wazi kwamba mgao wa Escrow umepita kwa viongozi wengi, C Muhongo, Tibaijuka na wachache wanaotajwa tu, na ndio maana hakuna anaeona umuhimu wa kujiuzulu ilhali walinufaika wote,
Kiongozi haina haja ya kutafuna maneno na kujizungusha, prof muhongo na tibaijuka ni mafisadi na wanahusika moja kwa moja na uchotaji wa pesa ya umma/escrow........kama unabisha basi wewe unabishana na ripoti ya cag, tra na takukuru, na hakuna chombo kingine chochote kitakacho kupa habari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.