Habari za humu wakuu naombeni ushauri wenu kijana wenu nahitaji kununua gari used kwa mtu bajeti yangu ni 3M to 5M.
Gari ambazo nazifikiria ni
1.Toyota Mark II gx 110 cc 2000
2.Toyota passo cc 1300 au cc 1000
3.Nissan march cc 1300
4.Toyota vitz cc 1300 au cc 1000
5. Toyota starlet cc 1300
6...
Wanajeshi wanapaishwa sana mishahara yao sio mikubwa kama watu mnavyosema humu ndani.
Tatizo humu watu wanachanganya vitu mada imeelezea taasisi zenye mishahara mikubwa yaani ni entry level ikimaanisha kwamba huo ni mshahara wa degree ambae ndo anaanza kazi kwa mara ya kwanza kwenye hio taasisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.