Recent content by Ousman-98

  1. O

    Wito wa maandamano Dar nje ya Ubalozi wa Marekani kesho

    Hata Rais huwa anatumia hiyo Wewe Sijui unataka ipi????
  2. O

    Maajabu: Aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema azuiwa kuingia mahakamani kwa kuambiwa kuwa ana Corona baada ya joto lake kusoma nyuzi 37.1

    Tushaambiwa magonjwa mengine kama malaria yapo Sasa ukimpima mtu ukamkuta koto limepanda je hiyo sio dalili ya malaria au mnatetea hoja hamkumbuki viongozi tena wakuu Wanavyo tuambia. Leo kenya wanawapima wa kwenu mnasema ni vita za kiuchumi Huyu mtu joto kupanda ndo mseme Corona duuuuh
  3. O

    Nasikitishwa sana na majibu ya dharau ya Rais Magufuli kwa Watanzania

    Toa hoja SIO kuropoka Ndo maana mtoa post anakataa mimaneno ya ajabu
Back
Top Bottom