Recent content by ouagadougou

  1. O

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CHADEMA mji wa Tunduma ashikiliwa kwa zaidi ya saa 10

    Kutokana na yaliyojiri juzi mji mdogo wa Tunduma, polisi walimshikilia Diwani Frank Mwakajoka wa Chadema tangu saa 3 asubuhi. Ajabu ni kwamba yaliyotokea juzi ni mgogoro wa kuchinja kati ya Wakristo na waislamu. Diwani aliyekuwa na kikao shule ya sekondari mpakani aliambiwa kuhusu yaliyokuwa...
  2. O

    JamiiForums Tanzania CV ya Issa Ponda

    Wacheni maneno Mingi isiyo na tija. Wekeni hapa CV ya Ponda hapa ili kuona kama MUFTI wenu kadanganya!
  3. O

    JamiiForums Tanzania David Silinde ana mpango wa kuendelea na ubunge?

    Nimesoma na David Ernest Silinde mbunge wa mbozi magharibi na mdogo wangu ki-umri Hivi majuzi nimezungumza na mwananchi mmoja na akanieleza yafuatayo kuhusu Silinde. 1. Hahudhurii vikao vingi vya halmashauri ya wilaya 2. hahudhurii/amehudhuria kikao kimoja tu cha baraza la mamlaka ya mji mdogo...
Back
Top Bottom