Recent content by Otto Mendez

  1. Otto Mendez

    JamiiForums Tanzania Anahitajika business partner

    Dah!! Jamaa sio wastaarabu kabisa na nashukuru kwa kulikemea mkuu.
  2. Otto Mendez

    JamiiForums Tanzania Anahitajika business partner

    Salaam zenu wana jf.Kwa kifupi nafanya biashara ya nyumba ya kulala wageni(guest house) iliyopo TEMEKE. Nyumba yangu ya wageni ina vyumba saba (7) ambavyo kwa siku nina uwezo wa kuingiza tshs laki moja(tshs 100000) fixed kwasababu ipo uswahilini na wateja wengi sana na wateja wangu ni wa...
  3. Otto Mendez

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Nassari na wenzie hawakuleta Ushahidi bali Taarifa, tunampa onyo kuongelea taarifa za uchunguzi hadharani

    Yupo sahihi kwa maana wasipende kuingilia utaratibu wao. Wao wameshatoa ushahidi sasa watulize ball waache TAKUKURU wafanye kazi yao na sio kushinikiza as if wao ni TAKUKURU.
  4. Otto Mendez

    JamiiForums Tanzania Rais haoni aibu kutudanganya kuwa analipa deni la bil 900, anazitoa wapi?

    Mkuu ili tatizo wanalo sana wanasiasa sio mheshimiwa rais tu ata wale walituambia Lowassa fisadi pale mwembe yanga angalia walivyofanya 2015
  5. Otto Mendez

    JamiiForums Tanzania Laptop kali ya Lenovo inauzwa!!

    Og inatengenezwa wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Otto Mendez

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya mabadiliko

    Hapana nataka kufanya mabadiliko tu mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Otto Mendez

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya mabadiliko

    Upo wapi mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Otto Mendez

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya mabadiliko

    nashukuru kwa ushauri wako mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Otto Mendez

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya mabadiliko

    Wasalaam wana jf Nahitaji kujua gharama za kufanya mabadiliko kwenye kampuni yangu kama yafuatayo kumtoa director na kumuingiza director mpya,kubadilisha mwenyekiti na address, kubadilisha umilikaji(Hisa) na kubadilisha jina la kati kati ila la mwanzo kubakia. Je documents gani zinahitajika...
  10. Otto Mendez

    JamiiForums Tanzania Hivi BOT na TCRA wako wapi hizi riba za mikopo ya Tigo na Airtel?

    Options ya mkopo tigo ipo vipi
  11. Otto Mendez

    JamiiForums Tanzania Mkopo mkopo

    Nitaleta kiongozi
  12. Otto Mendez

    JamiiForums Tanzania Benki ipi nzuri kufungua account?

    Ok poa kiongozi
  13. Otto Mendez

    JamiiForums Tanzania Benki ipi nzuri kufungua account?

    Ya wapi mkuu? Mimi nahitaji loan mkuu
  14. Otto Mendez

    JamiiForums Tanzania Mkopo mkopo

    Ok nimekusoma kiongozi ila nataka niwatembele equity,dtb,crdb nijue utaratibu wao
Back
Top Bottom