Kuna njia rahisi zaidi ya kufanya international transfer na kupokea pesa. Ni very cheap uki compare na equivalent za CRDB au ile dollar 55 flat wanayocharge.
Naweka link hapa ukajionee mwenyewe [emoji116]
https://wise.com/invite/ath/eliasapolinarye
Gharama ya kununua ngozi ya ng'ombe kwa wafugaji ni kati ya 3000 mpaka 5000.
Kujua ubora wa ngozi unahakikisha yafuatayo :-
1. Imechunwa vizuri bila kukatwa katwa, hasa maeneo ya kati kati ya ngozi ikitandazwa
2. Haina branding ( tattoo) zilizo pigwa na kuchukua asilimia kubwa ya ngozi
3. Ngozi...
Ndio nimewahi kufanya kama mnunizi mdogo.
Nakusanya mzigo then napeleka kwa mlanguzi mkubwa anayesafirisha kupeleka kiwandani.
Ilikufa kwa sababu ya mlanguzi kuacha kuchukua ngozi, sababu hakuweka wazi.
Wakuu naomba uzoefu na Tips za kupata National Visa (long stay-1 year) ya Ujerumani. Nina interview mwezi huu.
Kipengele cha kuthibitisha kama nitarudi Nina wasiwasi kama Nina majibu sahihi ( Binafsi nitarudi) sasa kwenye kuwaaminisha. Sina kiwanja wala nyumba na sijaoa ( ni recent graduate tu)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.