Kuibiwa chenji.... Means unatoa Hela unarudishia chenji nusu. Sasa kama hujui unaondoka ukiamini kwamba ndio bei. Na hili wanalifanya Kwa kucheza na akili ya mtu anakuangalia uhakaraka wako uliokonao then ukishampa Hela anachoanza kukupa ni N card ili either usahau chenji au akupe chenji...
Nikweli kwenye suala la chanchi ndg zangu hata wafanyakazi wa magufuli terminal pale aisee ni wezi sana. By experience ukimpa Hela kubwa anatangulia kukupa n card mfano umempa 1000 anakupa n card na sh 500 alf ni kama anazuga ili uondoke. Wengi hawajui bei halisia na unajikuta umeondoka. Umeacha...
Hali sio nzuri... Sio viwandani tu... Waoneni Hawa sales officers wanaozunguka barabaran muwaulize wanachopata.. kiufupi wengi tunafanya kazi ili kukamilisha kilichosemwa na kilichopo kwamba ufanye kazi ili ule. Na kula kwenyewe usipoangalia dah hutoboi kukuta mshahara mwingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.