Recent content by Osunyai one

  1. Osunyai one

    JamiiForums Tanzania Arusha: CHADEMA yailambisha Shubiri CCM waliyoitengeneza wenyewe siri yafichuka

    wananchi wanajua kuwa haya ni majungu ya mkosaji madiwani wa Chadema hawahusiki na hili
  2. Osunyai one

    JamiiForums Tanzania Arusha: CHADEMA yailambisha Shubiri CCM waliyoitengeneza wenyewe siri yafichuka

    naona udaku tu katika hili la pisho
  3. Osunyai one

    JamiiForums Tanzania Bundi atua CUF: Prof. Lipumba, Sakaya, Mbunge wa Mtwara mjini na wengine wasimamishwa uanachama

    NDIO hasara ya kununulika kimawazo au kifikra kaisha Lipumba means imebakia pumbaa tu hakuna kitu kisiasa
  4. Osunyai one

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Jiji la Arusha yagundua akaunti feki iliyotumiwa na CCM kuiba Milioni 40

    Siasa sio ugomvi ni kazi kama kazi nyingine kama kupitia siasa mtu anaukwaa urais wa nchi lazima tusimamie katiba na haki za msingi as utawala bora
  5. Osunyai one

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, ifanye Septemba mosi 2016 kuwa siku ya mapumziko

    JIPU LENYE USAA TENA ULIOOZA LA MIAKA MINGI KATA YA SOMBETINI NA BAADA YA KATA HII KUGAWANYIKA LIMEBAKIA KATA MPYA YA OSUNYAI.JR. JIPU HILI NI ENEO LA WANANCHI LINALOLALAMIKIWA MIAKA MINGI TOKA 1996 HADI SASA LENYE UKUBWA USIOPUNGUA HEKA NANE (8) WANANCHI WA KATA YA OSUNYAI TUNAMUOMBA MH.RAIS...
  6. Osunyai one

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Jiji la Arusha yagundua akaunti feki iliyotumiwa na CCM kuiba Milioni 40

    Ukweli haki itabaki kuwa haki .pia kulinda katiba ni haki ya kila mtanzania.iweje mtu au kikundi kitoe amri kinyume na katiba ya nchi. Nadhani tunahitaji hekima kama Sulemani .
  7. Osunyai one

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Jiji la Arusha yagundua akaunti feki iliyotumiwa na CCM kuiba Milioni 40

    Hivi kuna haja gani kuwafanya watanzania waanze kuwa waoga heti kwa sababu tu ya kukuchagua wewe.muda ikifika wa kuomba kura hatutakupa hata moja kwani hufai tumia hekima na busara kutuongoza
Back
Top Bottom