Recent content by Ossaessa

  1. Ossaessa

    Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

    Beatrice Kamugisha, Ni sawa na kukubali kudungwa sindano ya virusi vya Corona ilitupewe hela. Du!
  2. Ossaessa

    Picha: Magereza na Mambosasa waanza kuumbuka

    Naona picha haikuchukuliwa vizuri
  3. Ossaessa

    Askofu Niwemugizi asikitishwa na Kauli ya Humphrey Polepole kuwafananisha Wapinzani na Corona

    Kwa kumpa nafasi ya ukatibu mwenezi taifa pole pole, tulichemsha kabisa badala ya kuunganisha chama na wananchi yeye amejipa kazi ya kukitenga chama na wananchi. Hopeless kabisa.
  4. Ossaessa

    GE2020 Tume Huru ya uchaguzi au Uwazi katika mchakato wa uchaguzi

    ili kuwepo uwazi kwenye uchaguzi, nilazima pawe na combo huru chausimamizi (tume huru) kimuundo na kiutendaji. Na hii tume isiwe kwa ajili ya vyama vya siasa Bali kwa ajili ya wananchi maana ndio wa naotaka kuona kura zao ziaheshimiwa na kuthaminiwa.
  5. Ossaessa

    CCM walitaka kumtumia Msigwa kwa namna tatu

    Kuna haja ya kubadilisha katibu mwenezi wa cha chetu, huyu aliyepo amepwaya. Hatufai kabisa kuingia nae kwenye uchaguzi mkuu wa oktoba mwaka 2020.
  6. Ossaessa

    Taratibu dunia inatupia macho uchaguzi wetu

    Kwa kauli ya Dr bashiru, ni kheri kutosoma kabisa. Maana amedhihirisha ule usemi usemao ni kheri kuwa na akili kuliko kuwa na Elimjy
  7. Ossaessa

    Sijibizani na Yudas Escarioti: Mwenyekiti CCM Mara

    Chuma kimeshika moto sasa
  8. Ossaessa

    Rais Magufuli aitikia wito wa maridhiano wa Mbowe, leo akutana na viongozi waandamizi wa vyama pinzani

    Kukubali kukosolewa au kushauriwa na kujirekebisha,ni sifa mojawapo ya kiongozi bora..
  9. Ossaessa

    GE2020 Waitara: M/kiti CCM Mkoa Mara ana tumbo kama pipa, simuogopi

    Hivi kumbe anabodyguard kabisa.
  10. Ossaessa

    Nini faida na hasara ya Tume ya Uchaguzi?

    Salam wana JF Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la wananchi, wanasiasa, viongozi wa dini, taasisi mbalimbali pamoja na baadhi ya Viongozi wastaafu kutaka iundwe Tume Huru ya Uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, 2020. Upande wa pili kumeibuka kundi linalopinga uwepo wa Tume Huru ya...
Back
Top Bottom