Recent content by OSOKONI

  1. OSOKONI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aliyefanya kazi chini ya kiwango tokea Uhuru wa Tanganyika

    Kwa nini haijawa hivo? Hebu tutajie kesi zake ambazo zipo mahakamani ?
  2. OSOKONI

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa na Waraka wa Leo

    Mkuu lazima usifie kila kitu?
  3. OSOKONI

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema awataka IGP na Mwigulu Nchemba wakauze maandaazi

    Alibaniwa kwenye mahakama ipi mkuu? Majambazi ya magari ni hatari yakamatwe ns kupelekwa mahakamani haraka
  4. OSOKONI

    JamiiForums Tanzania Bashe ahojiwa BBC, apinga ujenzi wa Reli unaoipa kipaumbele Rwanda

    Ukiambiwa kuna Reli inatoka uingereza kwenda ufaransa kupita chini ya bahari utaamini au ile inayotoka Hokkaido hadi Tokyo Japan utaamini? Think outside the box
  5. OSOKONI

    JamiiForums Tanzania Marekani yataja nchi tisa zinazokandamiza Uhuru wa Habari na Tanzania imo

    Elimu Elimu Elimu
  6. OSOKONI

    JamiiForums Tanzania Mbunge Moshi vijijini, Komu Kalist apeleka hela mfuko wa jimbo kujenga ukuta shule binafsi huku za kata hazina hata choo

    Barabara ya moshi -mabogini-chekereni-kahe ni janga kuu huyu mbunge hana msaada jimboni kwake
  7. OSOKONI

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwani kusoma ni kujua Kiingereza?

    China mtu anaanza nursery hadi anapata ohd lugha anayotumia kichina je sisi kuanzia cchekechea hadi phd tunatumia kiswahili kusomea? Kama jibu ni ndio sio lazima msomi ajue kingereza kama jibu sio msomi yoyote wa Tanzania lazima ajue kingereza
  8. OSOKONI

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kuhimiza watu wa Iringa wajikinge na UKIMWI!

    We tayar?
  9. OSOKONI

    JamiiForums Tanzania Makonda: Marufuku kudai nyongeza ya mshahara! Nashangaa watu wanapita na mabango, mie ningewachapa

    Mijeledi inamfanya, punda aende
  10. OSOKONI

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Nani anayo mkuu
  11. OSOKONI

    JamiiForums Tanzania Magufuli wa 2015 wakati wa Kampeni na Magufuli wa 2018 akiwa Rais juu ya maslahi ya wafanyakazi

    Ni muda gani? Amekuwa specific?
  12. OSOKONI

    JamiiForums Tanzania Fedha zilizopotea ni zaidi ya Trilioni 1.5, ni 2.6. Zipo wapi?

    Mmeshaambiwa pesa IPO hajaibiwa close the agenda
  13. OSOKONI

    JamiiForums Tanzania Natamani kumuona Mange Kimambi akianzisha chama chake cha upinzani na agombee urais

    Kwani hii IPO kwenye katiba yetu?
  14. OSOKONI

    JamiiForums Tanzania Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Acha tu liwe jiji hakuna namna nyingine
  15. OSOKONI

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mkisema mnaomba chakula mnakufa, nitasema tu kufa. Hakuna chakula cha bure

    Mvua pekee haitoshi.kunatakiwa inputs mechanization transport storage facilities etc
Back
Top Bottom