Recent content by OSIEP

  1. O

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kuwa chadema wako nyuma ya vurugu za mtwara soma tanzania daima la leo

    Mtoa mada huyu hajui akisemacho
  2. O

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA wana Kifafa cha Kisiasa! Awafananisha na nguruwe...

    Mwacheni aseme ndo kazi yake bila kuropoka halipwi da! muombeen huyu jamaa anatabu kwel ila hana jinsi!
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM wa Jimbo la Iramba Magharibi na Msaidizi wa Mwigulu kuhamia CHADEMA!?

    Wann? akae huko huko atutaki wa kufuata upepo
  4. O

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Wabunge Saba wa CHADEMA Kuhamia CCM!

    Kwan tatizo liko wap? sisi ndo tuliwachagua wao waendetu! tutachagua wengine makamanda wapo wakutosha mpaka kieleweke.
  5. O

    JamiiForums Tanzania CCM yawalipa sh. elfu tano tano vijana wa chuo cha Tumaini waliochukua kadi za chama

    Ndo zao hata huku maposeni high school njemba mmoja maarufu kama nyange(TEACHER ) ana mwaga 15000 4each anayekubali kuchukua kadi ya chama mapinduzi ambapo hadi sasa vijana kama vile kishaluli,ndondole, naunda,G mgaya,,kilindo na wengine>30wana kadi
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Chemba soma hapa baba!

    Kwa imani ya dini yangu kipimo ambacho mtu hutumia kuwapimia watu duniani naye atapimiwa kwa kipimo hichohicho kwa mungu hivyo nipamoja nawe kakika maombi ya kitaifa ya siku 7
  7. O

    JamiiForums Tanzania Dunia inakwenda wapi? "Mtoto alazimishwa kula mbegu za kiume"

    da! amakweli hofu ya mungu kwa wanadam imepungua niwapi tunakwenda?
Back
Top Bottom