Recent content by oscar mjasiriya mali

  1. O

    JamiiForums Tanzania Sentensi 11 zilizotolewa na Freeman Mbowe kwenye Baraza la Idd

    Mbowe ni kiongozi unayeweza kumsiliza sana anajua kujenga hoja anastahili kuwa kiongozi
  2. O

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    ati aliwahi kusema Lowasa atakufa?
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kikwete ameteua wanajeshi na watu wa usalama kuwa wakuu wa tume ya uchaguzi

    Walipokataa matokeo wakati ule ni tofauti na sasa nyakati hazifanani watanzania wana muamko mkubwa sana tuombe Mungu
  4. O

    JamiiForums Tanzania Mgombea mwenza kumwangusha Magufuli

    Hapo umenene hana mvuto kisiasa na hatutaki Raisi mwanamke
  5. O

    JamiiForums Tanzania Samahani, huyu mgombea mwenza sindo aliye sigina rasimu ya warioba?

    Yaani wamepotea na huyo mama bara na zenji wanamchukia vibaya mana alikuwa mbabe kwenye lile bunge la katiba zaidi ya sita, leo wanatuletea ndio mgombea mwenza kweli wananchi tunadharaulika
  6. O

    JamiiForums Tanzania Habari ya Clouds TV mmenunuliwa na CCM?

    Kitambo sana mmewajua leo! Smtme wanatupa kashfa sana kwa wapinzani
  7. O

    JamiiForums Tanzania Endapo UKAWA wataporwa ushindi na CCM, nini kifanyike?

    Nikuandamana migomo ya kazi mpka kieleweke
  8. O

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Dr. Slaa

    Kiukweli hii c ishu ndogo dk slaa amepigana sana,tung'esonga wenyewe bila edo
  9. O

    JamiiForums Tanzania Hii TAKUKURU ya mwaka huu imeota meno

    Hakuna meno hapo muda c mrefu utackia hawana hatia
  10. O

    JamiiForums Tanzania Silvester Kasulumbayi, mbunge Maswa Mashariki ni mzigo

    Ki ukweli tuache ushabiki chadema awekwe mtu mwingine pale
  11. O

    JamiiForums Tanzania GE2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    Kwa upande huu ndioo mana chadema kuna taratibu na sheria za chama kama anaweza kuzifuata ndioo..tunaweza mtumia kugawa magamba
  12. O

    JamiiForums Tanzania Nani awe Waziri katika Serikali ya Magufuli

    Tatizo la magamba watampangia baraza la mawaziri ile ni taasisi ya watu flani huwezi kupingana nao
  13. O

    JamiiForums Tanzania TBC, ina maana Madiwani kuihama CCM Monduli sio habari?

    Toka aondoke Tido iyo tv haina mvuto inaendeshwa na kodi za wananchi lakini inatumiwa na magamba
  14. O

    JamiiForums Tanzania Makao makuu CUF: Ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ushiriki wao UKAWA

    Cuf wana ubinafsi na tamaa tatizo kubwa
  15. O

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Elyson umenene dawa ni kuwapiga chini magamba tusiumize vichwa
Back
Top Bottom