Habarini ndugu zangu...
Nahitaji kujiendeleza na masomo, kusoma master's mimi nina degree ya kwanza ya accounts na ninahitaji sana kuendelea na degree ya pili na sina idea degree ipi ya pili itakua nzuri kwangu.
Naombeni msaada wenu na pia ni chuo gani hapa Dar es salaam naweza soma degree...
Kwa watu tusio na ajira iko hivi...
Kuna % kubwa ya watu ukiwatafuta kuhusu mambo ya kazi wanakujibu kua upo kimya sana kijana mara unajifungia sana njoo mjini mwengine eti amesahau... Yani mi nashindwa kuwaelewa kabisa maana wote ndio majibu yao hivi huna ajira kila siku utakua mtu wa kwenda...
Kwa mfano tangazo la kazi uhamiaji limetangazwa kiswahili kwenye fani zote kuanzia wahitimu wa vyuo na hata form 4. je nisahihi kuandika kwa kiswahili barua ya kuomba kazi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.