Recent content by Oroka msoro

  1. Oroka msoro

    DOKEZO Wanywaji wa pombe kali tuwe makini, kuna pombe kali feki nyingi nchini

    Usitupangie maisha ya kuishi mind your business
  2. Oroka msoro

    Zitto amsifia Hayati Magufuli kuleta nidhamu ya kazi kwa kipindi chake

    Akisifiwa hamsemi mwacheni apumzike ila ubaya wake ukiongelewa mnalia kama vitoto vya nguruwe
  3. Oroka msoro

    Erythrocyte, kwanini hukuripoti Safari ya Lissu kurudi Ubelgiji?

    Wapumbavu mmekutana pwagu na pwaguzi
  4. Oroka msoro

    Erythrocyte, kwanini hukuripoti Safari ya Lissu kurudi Ubelgiji?

    Mpumbavu katika upumbavu wako
  5. Oroka msoro

    Kuna agenda gani ya Upinzani kumshambulia Hayati Magufuli?

    Kama umekata tamaa ni wewe watu wanatamani hata uchaguzi uwe kesho wafanye yao
  6. Oroka msoro

    Kuna agenda gani ya Upinzani kumshambulia Hayati Magufuli?

    Marehemu ndio mlaaniwa hawezi mlaani yeyote mfu wenu huyo
  7. Oroka msoro

    Kuna agenda gani ya Upinzani kumshambulia Hayati Magufuli?

    Issue sio kuchukua nchi issue ni maovu yake yasemwe Ili vizazi vijavyo visije kurudia makosa kama yaliyofanyika 2015
  8. Oroka msoro

    Kuna agenda gani ya Upinzani kumshambulia Hayati Magufuli?

    Kusini hatutakaa tumuelewe alitupora korosho yetu kibabe Kwa kutumia karandinga za jeshi Wafanyabiashara wa bureau da change hatutajakaa tumuelewe alitupora fedha zetu kijambazi chini ya mitutu ya JW Kuna walioporwa fedha Kwa nguvu ukikataa unapewa kesi ya uhujumu uchumi kumbe fedha zinafichwa...
  9. Oroka msoro

    Kuna agenda gani ya Upinzani kumshambulia Hayati Magufuli?

    Hivi ni lini mtawarudishia wale jamaa wa bureau da change fedha zao mlizowapora kijambazi chini ya mitutu ya JW
  10. Oroka msoro

    Kuna agenda gani ya Upinzani kumshambulia Hayati Magufuli?

    Hivi mlishawalipa wakulima wa korosho wa kusini fedha zao za korosho mlizopora
  11. Oroka msoro

    Kuna agenda gani ya Upinzani kumshambulia Hayati Magufuli?

    Kama wewe ulivyo wa hovyo
  12. Oroka msoro

    Kuna agenda gani ya Upinzani kumshambulia Hayati Magufuli?

    Ila akakopa matrilioni yenye masharti magumu Kwa hao hao wazungu huku aliwadanganya kuwa ni fedha za ndani
  13. Oroka msoro

    Kuna agenda gani ya Upinzani kumshambulia Hayati Magufuli?

    Hashambuliwi ni ukweli wa maovu yake unawekwa hadharani kama nyie mnavyopambana kulinda legasi so Kila mmoja acheze mechi zake
  14. Oroka msoro

    Pongezi za Halima Mdee, Zitto na ACT Wazalendo, namuona Mdee aliibukia ACT 2025

    Kajiunge nao chap ya Chadema waachie wenyewe
  15. Oroka msoro

    Katiba Yetu Ina Matobo: Serikali Ikikosea, Inashitakika. Je, Bunge na Mahakama Zinapowakosea Watanzania Kama Makosa Haya Tunawashitaki Wapi?

    Nchi inaongozwa Kwa mifumo sio mawazo ya mtu mmoja, hakuna wakati rushwa na ufisadi ulifanyika kama enzi za Jiwe tofauti ni kwamba aliamua nani afanye ufisadi na nani asifanye ongoza wewe familia yako Kwa mawazo yako ila nchi haiendeshwi hivyo
Back
Top Bottom