Recent content by Orden Martin

  1. O

    JamiiForums Tanzania Nimeokota kitambulisho cha NIDA

    Naomba unijulishe hatua ulizochukua coz nilitoa taarifa polisi ya kupotelewa na kitambulisho. Niliomba uniambie nakipata vipi hujanijuza. Naona wengine wameshauri ukitupe, tupeleke ofisi za kata, mtaa. Ninapenda kujua hatua uliyochukua ili nifanye maamuzi kama ni kwenda NIDA kuomba kingine au...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Nimeokota kitambulisho cha NIDA

    Kiongozi. Mwenye kitambulisho cha NIDA ulichokiokota Ihumwa ni Mimi, nimefungua loss report tayari ya kupotelewa na kitambulisho. Naomba kujua nakipata wapi? Kama ulikipeleka NIDA nijue, kama ni polisi nijua nakipataje. Namba yangu nilikutumia hatujawasiliana. Mimi Dodoma nakuja na kutoka tu kwa...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Nimeokota kitambulisho cha NIDA

    Kiongozi naomba tuwasiliane kwa namba hiyo kwa ajili ya kukipata kitambulisho au tuwasiliane humu nilipo unitumie kwenye basi. Majina ni hayohayo yaliyopo kwenye kitambulisho na namba ya simu hiyo hapo. Asante
  4. O

    JamiiForums Tanzania Nimeokota kitambulisho cha NIDA

    0714527646
  5. O

    JamiiForums Tanzania Nimeokota kitambulisho cha NIDA

    Habari kiongozi, kitambulisho ni cha kwangu. Naomba msaada wa kikipata. Nakiri kuwa nilikidongosha
  6. O

    JamiiForums Tanzania Nimeokota kitambulisho cha NIDA

    Unaweza kunitumia hata kwenye basi nikakilipia Haina shida.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Nimeokota kitambulisho cha NIDA

    Kiongozi habari yako. Kitambulisho hicho ni chakwangu. Nakili nilidondosha mitaa hiyo nilipita wanapouza kuku wa kuchona. Nahisi nilidondosha maeneo hayo ya Ihumwa. Ni kitambulisho tu Sina kingine. Nakipataje. Kwa Sasa nipo Dodoma
Back
Top Bottom