Recent content by Oranoo

  1. Oranoo

    JamiiForums Tanzania Live chat na pisi kali

    Yap kuna sster ang moja almweka status, nkamwomba namba
  2. Oranoo

    JamiiForums Tanzania Live chat na pisi kali

    HHahaha, hii mbinu lazma niitumie sku yamenikuta
  3. Oranoo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Habr zenu dar ntapata sehem gan ya kuuzia nguo za Mtumba kwa kila siku na gharama inakuaje (siyo from).. Balo za Mtumba naagza mwenyew Dubai na china
  4. Oranoo

    JamiiForums Tanzania Live chat na pisi kali

    haha@clinician
  5. Oranoo

    JamiiForums Tanzania Live chat na pisi kali

    Salaam MMU, guyss naomba tushare chats huku tukificha contacts za warembo tunaochat nao kila siku, either iwe tunawatongoza, tunavoomba mbususu, wanavotupiga mizinga etc ili tujifunze na kuchekana pia .. Mi naanza kwa kushare screenshots zangu...nanyi tiririkeni
  6. Oranoo

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Nshawapa mara 2 ila huyo mmoja ndo shida
  7. Oranoo

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Guys, msaada nguruwe wangu growth yake haiko vizuri ukilinganisha na wenzake, ila kula anakula vizuri kabisa
  8. Oranoo

    JamiiForums Tanzania Hasara kubwa mbegu za alizeti (ASA)

    Inshort huku Songea wengi wanalalamika nimeshafanya uchunguzi kwa kina, hata baadhi ya wanunuzi wa alizeti wamestukia dili, hizi alizeti hawanunui tena, wananunua za kienyeji
  9. Oranoo

    JamiiForums Tanzania Hasara kubwa mbegu za alizeti (ASA)

    Hapo hamna cha kufidiwa ni kujipanga tu upya, kazi iendelee
  10. Oranoo

    JamiiForums Tanzania Hasara kubwa mbegu za alizeti (ASA)

    Hii ni hatari, hata wakifikishiwa taarifa watafanyaje na sisi wakulima tushapata hasara kubwa
  11. Oranoo

    JamiiForums Tanzania Hasara kubwa mbegu za alizeti (ASA)

    Habari wana jamvi, Naomba kujua waliolima alizeti kwa kutumia mbegu za Serikali za ASA mafuta zimetoa kiasi gani maana, hasara tuliyopata sye huku tuliolima Songea sio mchezo. Gunia la kilo 45 mafuta yametoka lita 7 tu, hivi hawa watafiti wa hizi mbegu mlisomea chini ya zizi la nguruwe au?
  12. Oranoo

    JamiiForums Tanzania Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

    Duh, hyo n hatari kuna mzgo wangu upo njia afu sikujua ka wamepandisha bei
Back
Top Bottom