Recent content by Opinionated

  1. Opinionated

    GE2020 Ushauri kwa Tundu Lissu: Simamia 'agenda' hii ya kimapinduzi

    Muheshimiwa Tundu Lissu, Kwanza napenda kukupongeza kwa kuteuliwa kwako kupeperusha bendera ya chama chako katika uchaguzi huu wa 2020. Pili, Sera hii yako ya Mifumo ya kifalme ni sera moja kubwa na yenye mashiko makubwa na yenye uwezo mkubwa wakuleta mapinduzi ya kifikra kwetu watanzania na...
  2. Opinionated

    Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    Hatuna shida na viongozi Madikteta!!! Walikuwa wamejianda hao ili kutafuta kiki ya kisiasa. Hata barua imeshachapwa. wao wafanye yao kwani lazima watuambie kama sio kutafuta sifa tuu? I am tired of the guy basssiiii! sisi sio wamaana kwako kutusikiliza sasa unatafuta sifa kwetu za nini??
  3. Opinionated

    Wabunge pingeni na kataeni kujengwa kwa Daraja la Juu ya Bahari kutoka Coco Beach to Agakhan

    Mhesimiwa Mr President, Mimi ni mtanzania mkazi wa masaki. Naomba nikuchallenge kidogo kwenye fikra kama ambavyo umetushauri watanzania kufanya badala ya udaku. Je unadhani kweli, mr president kuwa watu wamasaki tunauhitaji mkubwa wa daraja linalotoka mjini mpaka majumbani kwetu kwa sasa? Je...
  4. Opinionated

    Hashim Rungwe: Mwakyembe usiivuruge TLS

    Raisi Magufuli anataka kucentralize mamlaka zote ziwe kwake hii ni hatari sana. Tutakimbilia wapi kama nao mawakili na majaji watawekwa chini yake?
  5. Opinionated

    It's just a Matter of time: Tumshauri Kujitafakari And Do The Right Thing or Live And Let Die?

    Kweli siku zote inamweka mtu huru. Kwanza aache kusingizia vita dhidi ya Madawa ya kulevya kwanin watanzania wengi tunasapport vita hii ila tulikuwa atusupport njia aliyotumia. Pili yeye sio kiongozi wa hio vita, imeshapewa mkurugenzi. Mbona atusikii yeye akiulizwa vyeti au kulalamika na...
  6. Opinionated

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku mikutano yote ya ndani na nje ya vyama vya siasa

    Yani wanaovunja sheria ni nani hapa? Wanao pitiliza mamlaka yao ni nani? Hii inasikitisha sana yani umeanza utawala wakuvunja sheria kwa vyombo vya kuilinda sheria yenyewe. Kwa ufahamu wangh mdogo polisi ndio wanaovunja sheria na ndio wanaopaswa wachukuliwe hatua ma sio wale wanaotimiza haki yao...
  7. Opinionated

    Kumbe hata bila ya Mawaziri Nchi inaenda

    kweli wewe ndio uanze kwenda shule...unadiriki kuita katiba ya nchi ni karatasi tu. hio dhana(mindset) yakuona katiba ni karatasi tu ndio inayoikumba nchi za afrika kwa kupata viongozi wasioheshimu katiba kwasababu wanamtazamo kama wako. Katiba ni sheria mama inayoongoza nchi au kundi la...
  8. Opinionated

    Viti Maalum: BAWACHA Ruvuma wampa siku tatu Mbowe kubatilisha uteuzi wa Zubeda Sakuru kutoka Tanga

    Unamaana gani nitafute kioo nijiangalie vizuri? Haya nimeshajitazama then what next? Jitafakari wewe pia uone kama niyasemayo hayakuhusu?
  9. Opinionated

    Viti Maalum: BAWACHA Ruvuma wampa siku tatu Mbowe kubatilisha uteuzi wa Zubeda Sakuru kutoka Tanga

    Hivi nyinyi mnaowatenga wachaga na watu wakaskazini kama vile wao sio watanzania mnadhani mnapanda mbegu gani? Yani kunakabila nchi hii ndio wao wanaruhusa kuliko wengine humu tanzania. Kwanza wachaga wako kila mahali nchi hii wengi wamezaliwa na kukulia sehemu hizo na kupachukulia kuwa...
  10. Opinionated

    Mwanamkakati wa timu ya kampeni na msaidizi wa Lowassa ni Mkenya

    Mnasema aevunja sheria ni sheria zipi hizo?? Je kwani harusiwi kumsupport mtu kama mshauri?? Msitafute kuwaonea na kuwabambikia kesi ilu kuwatusha watu kujihusisha siasa za upinzani.
  11. Opinionated

    Zitto: Kufuta matokeo Zanzibar ni chanzo cha vurugu nchini

    Yani huu ni ukweli kabisa. Sisi watanzania tunalalamika humu tu kuingia mitaani nakuwaonyesha watawala hasira zetu atuwezi. Tumekuwa watu waoga na wabinafsi sana. Tunajiwaza wenyewe tu na tunakosa uzalendo juu ya taifa hili. Wakati umefika wakulipigania taifa hili na sio kukaa kimya. The...
  12. Opinionated

    Nani Wakala humu ndani? Mawakala mmebeba dhamana yetu

    Mimi mmoja wao. Nawaahidi watanzania kuwa niyakuwa mwaminifu kulinda haki yao.
  13. Opinionated

    Bundi katua Nyumba ya Jirani, Katibu wa Wilaya (CHADEMA) Lindi ajiunga na CCM

    Hivi nyinyi mbona hampati picha?? Kaondoka katibu Mkuu wa taifa na bado tunasonga mbele kwa nguvu ..sembuse huyo?? Yeye nani?? Mko wagumu sana kuelewa kinachotokea.
Back
Top Bottom