Tutumie wataalamu jamani yaani umeamua kujenga nyumba ya 20+m laki kadhaa haziwezi kukushinda kumlipa mtaalamu.
Quantity Surveyor (Qs) huyu amekaa darasani 4yrs plus uzoefu wa hizi kazi. Atakusaidia yafuatayo;
1. Kukuandalia BOQ kuonyesha ukubwa wa kila kipengele (element) na gharama zake mfano...
Kazi ya Surveyor ni kupima eneo na kulirasimisha upate Hati miliki.
Kuhusu ku design mjengo wako muone Architect (Msanifu majengo) mpeleke site kwako yeye atakupa ramani kulingana na eneo lako. Ataangalia ukubwa wa eneo, uelekeo wa upepo, jua linakochomoza n.k kisha atakupa unachostahili...
1. Mtafute plumber aangalie P-trap/ S-trap kama kuna leakage.
2. Weka Ventilation pipe
3. Weka Exhaust Fan, hii kazi yake inatoa hewa chafu ya ndani kupeleka nje.
Hongera sana kwa ku share story nzuri ya maisha yako. Binafsi nimeburudika na kujifunza mambo kadhaa.
Nimegundua wewe ni mtu mstaarabu sana, nimepitia baadhi ya comments zinatia hasira lkn umebaki kua mtulivu na kumjibu kila mtu hekima. Big up
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.