Recent content by opec

  1. O

    JamiiForums Tanzania BARUA KWA WAZIRI WA AFYA

    Pole kwa majukumu ya utumishi wa umma. Mh. Naomba utupia macho yako hapa: panakera sana! Kuna hii taasisi inaitwa Pharmacy council of Tanzania, Hatuelewi umakini wa utendaji kazi wake ukoje.... Ni utata mtupu!!! Can you imagine watu walimaliza chuo mwaka 2015 hadi leo hawajapata usajili na...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Makonda yuko sahihi. Kubadili jina kuko kisheria

    Laki si pesa atakua ni bashite mwenyewe,tena OG. Sijaonaga bashite Kama hii,ni humu tu
  3. O

    JamiiForums Tanzania Makonda yuko sahihi. Kubadili jina kuko kisheria

    Sio ubadilishe jina kwa kununua vyeti,elewa mada iliyopo mezani. Jina ni jina,na vyeti ni vyeti.Bashite ni fa fa fafa 4m 4.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Makonda yuko sahihi. Kubadili jina kuko kisheria

    Kwani kuna mahakama inapitisha majina ya JF hapa??? Fikra bashite.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Makonda yuko sahihi. Kubadili jina kuko kisheria

    Popo kweli we we,unageuza mada kibashite bashite tu. Na watakusapoti mabashite wenzio. Kwan nani kakwambia tunahangaika na jina lake.??? Muda wooote huo hii kitu inaendelea hata huelewi watu wanalalamikia nini??? Bashite mkubwa wewe.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Hivi ili uwe RC unatakiwa kuwa na Elimu kiwango gani?

    Muanzisha mada na wewe ukahakikiwe vyeti Kama unavyo,ila Kama huna,nenda kakojoe ulale. Wenye vyeti wanaelewa kwann wanahoji.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Hahahahahahahaha,akapata zero,yule kiumbe akazungusha,yani akapata zero.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Dangote: Fungua kiwanda na kipeleke Rwanda au Ethiopia

    Tanzania ya viwanda
Back
Top Bottom